Recent content by Tchage95

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Tinde Girls' High School wako hatarini kutokana na uvamizi

    Habari zenu wanajf. Ningependa wadau wote tuisome hii, na ingekua vizuri sana kama ingemfikia waziri wa ardhi nyumba na makazi. Tinde Girls' High School ni moja kati ya shule za serikali za wasichana Tanzania. Shule hii inapatikana katika kata ya Tinde, eneo la Tinde, jimbo la Solwa, Shinyanga...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kupanga mishahara upya; Mishahara ilingane kwa kada zote

    Mwl wa boarding school anafanya kazi masaa 24/7
  3. T

    JamiiForums Tanzania Soka bongo

    Huyu mtangazaji wa mpira wa azam anaendeshwa na ushabiki. Mabeki wa azam wanacheza rafu anasema eti haja kusudia... Mchezaji wa yanga huyu namba saba amechezewa rafu mara mbili na huyu beki wa kushoto wa azam anasema eti uyu wa yanga anajirusha ili kumhadaa refa...navojua mtangazaji hatakiwi...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Malezi na makuzi mabovu ya baadhi ya wazazi ni mzigo kwa walimu

    Malezi na makuzi mabovu ya baadhi ya wazazi yamekua mzigo mzito sana kwa walimu ili mwanao afaulu vizuri masomo inahitaji ushirikiana wa karibu sana kati ya mzazi, mwanafunzi na mwalimu. Mtoto akishindikana nyumbani kitabia si rahisi akawa mtiifu shuleni. Siku zote mzazi mwenye malezi mabovu...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada jf Doctor

    Nashukuru sana
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada jf Doctor

    Mke wangu alikwamwa na kitu kama vipande vya chakula wakati akicheua... Hii ilitokea usiku alipokua akiamka kwenda kujisaidia, so anasema anahisi maumivu anapomeza maji... Nini tiba yake? Naomba msaada wako
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza juu ya cement nzuri ya kujengea nyumba ya kuishi

    Unafuu wa bei yake ilinifanya nihisi huenda isiwe bora eti
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza juu ya cement nzuri ya kujengea nyumba ya kuishi

    Ni cement ipi nzuri ya kufaa kujengea nyumba ya kuishi... Huku kwetu simba cement ni bei nafuu, so nkajikuta nahitaji kuitumia ila nkahofia huenda isiwe na ubora, ndo nkaona nawaulize...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Ni kweli tumepotea, lkn tumepotea kutoka kwenye mfumo ule holela wa miaka 10 ilopita tunaelekea kwenye mfumo mpya wenye misimamo kiutekelezaji, uchapakazi, nidham ya kazi na heshima kwa wanyonge...so kama ulizoea bwelele na kula kwa kupiga domo anza kupotea kutoka huko, maana if u doesnt want to...
  10. T

    JamiiForums Tanzania NI WAKATI WA KUMUOMBEA RAIS AENDELEE KUWA NA MUNGU KUONGOZA TANZANIA

    Wale wabinafsi ambao walizoea kuishi kifalme na kuchekelea wengi wanyonge wakiishi kifukala, ndio wanaompinga Magu... Mm naungana nawe kumuombea kwa Mungu afya njema, hekima na busara... Ameeeeeen
  11. T

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira apinga baadhi ya wapinzani kususia mwaliko wa CCM Dodoma

    Waliokataa ndio hawajui jinsi ya kumshinda adui yako... Mbinu nzuri ni kujifunza mbinu zake, alisema hata Madiba
Back
Top Bottom