Aisee, Ngoja utaskia kambi ya "upinzani ya ndani ya chama cha upinzani" ndio walimpa hiyo idea ili kumuua babu kisiasa. watachunguzana kiintelijansia vizuri, watajua nani alileta hili wazo, na ikibidi "watamsafisha".
mbona mlitoa post yangu niliweka alivyo "funika" Tura this december 19th? nimeitoa home page yetu chadema: http://chadema.or.tz/wp-content/uploads/2013/12/Slaa-kuhutubia-Tura-1..jpg
Sala kabla ya tendo la ndoa? hahahaha, I'm not sure it's a good idea! you be like:
Bwana tunakuomba utuwezeshe tendo hili tunalo taka kushiriki katika jina lako
Yutangulie, eh bwana, na utuhepushe na pepo zote zinazo wesha kutokosesha malengo yetu
Tunakemea katika jina lako tukufu pepo zote za...
Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe1h
1/6 Mkutano mzuri na wenye kutia matumaini, #Shelui #IrambaMagharibi. Ajenda kubwa ilikuwa madini na wachimbaji wadogo kulindwa.
2/6 Tutawatetea wananchi kupata maeneo ya uchimbaji kama Sheria ya Madini 2010 inavyoagiza. #IrambaMagharibi #CHADEMA...
Kabla ya kuchangia ningependa niwasilishe hii analysis ya correlation kati ya misaada na uongozi. (Source: Raia Mwema - Misaada na madini: Laana au baraka kwetu?)
Misaada na madini: Laana au baraka kwetu?
Zitto Kabwe
Toleo la 27426 Dec 2012
Tanzania imekuwa moja ya nchi kipenzi kwa mataifa ya...
Eti Dk Slaa kajikopesha mamilioni ya ruzuku?
Imeandikwa na Henry Mdimu on Wednesday, January 16, 2013 | 11:10
HALI ya mambo ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),si shwari baada ya kulipuka mgogoro mzito. Mgogoro huo, unamhusisha Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dk. Wilbrod Slaa kuwa...
Financial Times Tanzania special report: Politics - Young activists bring a belief that things must change (source: Politics: Young activists bring a belief that things must change - FT.com)
As with everything he does, Zitto Kabwes short-sleeved khaki safari suit is deliberate. Mr Kabwe, who...
Nimependa sana mapendekezo yake. Bravo mkuu.
Namsikiliza Mwanasheria wa serkali, anasema benki hazijulikani zilipo. Sasa kama Zitto aliweza kupata address ya hizo chache kupitia wachunguzi binafsi, kwanini serikali ishindwe kuwalipa watu hao walete data???
HIzo pesa zikirudi hapa zinaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.