Recent content by tavari

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Lengo la kufanya Private Clinic kwenye Hospitali za Umma ni kutoa motisha kwa Madaktari Bingwa

    subirini, tunafanya hatua kwa hatua
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wenye mtaji Njoo tuwekeze huku kwenye migodi ya dhahabu

    Kuna ambao walikuwa wauza uji mgodini ila kwa sasa ni matajiri wa kutupwa....biashara ya madini ina sehemu mbili...inaweza kukutoa mpaka kila mtu akashangaa na kutamani kuwekeza kwenye madini na inaweza kukufilisi mpaka ukawa chizi...nina mifano hai kabisa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

    150km/hr ni max speed mkuu....kimsingi itakuwa inatembea kati ya 80km/hr na 120km/hr na si zaidi ya hapo nadhani
  4. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

    Ni SGR mkuu, aliyewaambia ni high speed (Bullet train) aliwadanganya mchana kweupe, hii ya kwetu inaweza hata isifike 180km/hr..... nadhani itakuwa between 100 and 150km/hr max
  5. T

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    KILA LA HERI...MIMI KUBET SIJUI AISEE NINGEKUFUNDISHA
  6. T

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    UNATAKA KUBET
  7. T

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Njoo nikufundishe FOREX
  8. T

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Wamepigwa na kitu kizito kichwani na waarabu....hahahahahahaaaa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Makonda hali ngumu, awasilisha Hati Kinzani Mahakamani kuhusu kesi ya Utapeli wa Gari

    Inategeme umefungwa muda gani...kama miezi sita je
Back
Top Bottom