Wakazi wa Nyegezi (Mpambije Street, Ellys na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji
Ukosefu wa maji umeendelea kuwa kero kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza, hususan katika mitaa ya Mpambije Street, Ellys na Kumalija, Nyegezi. Kwa kipindi kirefu...
Kukosekana kwa huduma ya maji katika maeneo ya Nyegezi na viunga vyake kumegeuka kuwa tatizo sugu na la kudumu, linalojirudia kila mara bila ufumbuzi wa msingi. Tangu sikukuu ya Krismasi hakuna maji, hali ambayo imewaweka wananchi katika adha kubwa ya maisha ya kila siku.
Licha ya kurudiarudia...
Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
MWAUWASA, tunaomba taarifa ya haraka.
Kwa takribani mwezi mzima Yengezi yote hakuna maji, na sasa tatizo limejirudia tena bila maelezo yoyote kutoka kwenu. Wananchi tunapata usumbufu mkubwa—maisha, afya na shughuli zetu zimeathirika.
Tunaomba maelezo ya wazi:
Tatizo ni lipi hasa na kwa...
Hujyu hata aibu aibu hana mwauwasa umesomea nini? Unasema eti milimani? Msukumo mdogo? Ziwa liko wapi?
Alafu hii tabia ya kusingizia tanesco muache tanesco wanajitahidi sana msitake kufa nao.
Uoni aibu kusema walau mara tatu? Iundwe timu izunguke maeneo ya nyegeze na mitaa yake na mkolani...
Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji:
Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi:
Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji:
Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi:
Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
Aibu sana alafu watendaji especilly wa chini wanafharau sana mkurugenzi wanamdanya sana . Mostly maitaa mingi hata maji yakiwepo ni marambili kwa wiki tu na wanatoa kwa mda mfupi na spidi ni 0. Wamewatesa watu mwezi mzima laiki magari yao ya kuuza maji yanaendelea kama kawaida.
Nadhani kwa...
Mama anakuja tareh 08 wamesha tangaza so atajibu hii kero ya maji na nadhani ataondoka na viongozi hawa wa idara ya maji maana hawachukui action yoyote
Ukweli Mchungu
Viongozi wa mkoa wa Mwanza wanaendelea kukwepa ukweli na kugeuza hali ya maji kuwa siasa.
Tayari ni takriban wiki ya tatu sasa jiji la Mwanza linakumbwa na ukosefu mkubwa wa maji. Hivi karibuni mkuu wa mkoa alitangaza wazi kwamba marekebisho yamekamilika—lakini hali halisi kwa...
Hii issue ya capacity bila kujua madhara yake itasumbua sana mwaka huu vijana wengi watakosa vyuo.TCU ametoa very low capacity kwa vyuo mwaka huu na amafanya mabadiliko ya mitalaaa kwa mihemko ikiwemo kufuta fani mbalimbali.
Mfumo wetu wa elimu umebaki kua wa kuchokonolewa kila mara subiri...
Ukweli ni kwamba capacity ya vyuo vikuu huu mwaka iko limited sana na TCU inejisahau kua ufaulu uneongeza kwa kiwango kikubwa.
Mfano TCu anabana vyuo vikuu kwa ratio ya 1:50 students per staff ukijiuliza hii inawezekanaje? Hata shule za sekondari hazifanyi hivi.
Kwahiyo unaweza kuta kwa mihemko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.