Recent content by Tauceti Rigel

  1. Tauceti Rigel

    Hizi propaganda mnazoeneza kuwa Hayati JPM alikumbatia mafisadi ni upuuzi. Jibuni tuhuma zenu. Why DP world? Why Nepotism.?

    Elimu, Afya na Miundombinu inabidi iwe vipaumbele ambavyo tulishatatua kwa "matumizi na usimamizi bora ya rasiliamali" (ambao haupo)
  2. Tauceti Rigel

    Tuwakatae Wahuni Wote

    Kwa mentality ya kibinafsi ya Mwafrika mwenye asili ya Kitanzania wa Karne ya 21 sidhani hata kina Mandela na Mugabe waliokimbilia hapa Tanzania wakiwa wanapambania na wakoloni nchini mwao wangeeleweka Kuna maneno wazungu wamewahi kutamka "good times create weak men", yaani "nyakati nzuri...
  3. Tauceti Rigel

    I Thought Society Rejected Me for Being Too Smart, But the Truth Was Harder to Accept

    Reading your post was like looking at myself through a concave mirror; a lonely existence indeed
  4. Tauceti Rigel

    Sijawahi kuona raia useless kama wanaoishi Kimara na viunga vyake na wanatumia mabasi ya mwendokasi kwenda vibaruani

    Kwahiyo ukaachana na wisdom ya maelfu ya miaka kwasababu ya tamaa za kimwili ambazo mwisho wa siku zinakutenga na jamii Yako?
  5. Tauceti Rigel

    Sijawahi kuona raia useless kama wanaoishi Kimara na viunga vyake na wanatumia mabasi ya mwendokasi kwenda vibaruani

    Yes...ni uzembe wa the downtrodden, any government is as serious as it's citizens want it to be
  6. Tauceti Rigel

    Sijawahi kuona raia useless kama wanaoishi Kimara na viunga vyake na wanatumia mabasi ya mwendokasi kwenda vibaruani

    Sasa kama Wazee hawaumii mpaka kuandamana nje ya ofisi za NSSF mimi nifanye nini? kama watu wa kimara hawaandamani kupata mabasi zaidi kwenye vituo vyao mimi nifanye nini?
  7. Tauceti Rigel

    Sijawahi kuona raia useless kama wanaoishi Kimara na viunga vyake na wanatumia mabasi ya mwendokasi kwenda vibaruani

    Jibu hili hapa linaonesha hata misingi ya kiimani wazazi wako hawajakusilibia, let me guess...... ulivyoleft na Mungu umemsahau? hilo shimo rohoni halikupi ukakasi? Wazazi wamekubaliana na lifestyle yako?
  8. Tauceti Rigel

    Sijawahi kuona raia useless kama wanaoishi Kimara na viunga vyake na wanatumia mabasi ya mwendokasi kwenda vibaruani

    wameendelea kwa kusacrifice dignity, Mola wangu anajua na mapungufu yangu yote nimesitiri utu wangu and that's enough Yaani mwanaume atembeze kinyeo kukimbia dhiki afu wapambe wake mje kunicheka mtandaoni? are you serious?
  9. Tauceti Rigel

    Sijawahi kuona raia useless kama wanaoishi Kimara na viunga vyake na wanatumia mabasi ya mwendokasi kwenda vibaruani

    yale yanayonigusa moja kwa moja nasimamia ukucha mpaka kieleweke, ningekua naishi kimara hili nalo ningekua nalo bumper kwa bumper
  10. Tauceti Rigel

    Sijawahi kuona raia useless kama wanaoishi Kimara na viunga vyake na wanatumia mabasi ya mwendokasi kwenda vibaruani

    Jana hapa Mama mmoja tu katika harakati za kupambania nyumba yake mpaka mkuu wa mkoa akajitokeza, nyinyi mnashindwa nini?
Back
Top Bottom