Recent content by tatzoKIBUNDA

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hatma ya mkopo wa Benki baada ya mkopaji kufariki

    Kuna mtu mtaani aliniambia marehemu akifa akaacha deni Bank basi Deni hilo linasamehewa na kwamba Bank inalazimika kutoa pia mkono wa pole kwa wafiwa. Hii ni kweli ?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hatma ya mkopo wa Benki baada ya mkopaji kufariki

    Je, nikiwa nimekopa Mkopo katika Benki yoyote nchini Tanzania (NMB as case study) alafu kabla sijamaliza kulipa Mkopo huo, Nikafariki. Je, Mkopo huo bado utatakiwa kulipwa ? Kama ni ndio, je ni nani atawajibika kulipa ? Naomba Ufafanuzi pamoja na msimamo wa Sheria katika jambo hilo
  3. T

    JamiiForums Tanzania TFF: Dhana dhanifu ama halisi?

    Mbinu zozote zitatumika kuikabili Sisiemu na uchafu wake. Tupo tunaangalia na kushiriki ipasavyo kwenye Mapambano dhidi ya Sisiemu na uchafu wake.
Back
Top Bottom