Recent content by Tatus

  1. Tatus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume HIV+

    Soon nitakupa mrejesho tatizo watu wanaleta utani hata kwenye vitu serious Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Tatus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume HIV+

    Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja na Mwajiriwa wa Serikali. Natafuta mume mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext PM kwa maelewano na maelezo zaidi. Umri 40 na kuendelea.
  3. Tatus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Demu wa kuvinjari dsm jnne,j5 & alhamisi

    fursa hii
  4. Tatus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

    hii hadithi naona haijamaliziwa imeishia katikati.
  5. Tatus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukubwa wa maumbile ya kike; chanzo ni nini?

    wauza papuchi wanajua jinsi ya kuzitunza watu wananawia hadi pepsi itaacha kuwa tight
  6. Tatus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    ]Msimkatishe tamaa jmn, huwezi jua kilichomtokea mtu mpaka kufikia hali hiyo. Anaekidhi vigezo amfuate sasa wengine mapovu mengi na maneno ya kejeli juu. Duuu wengi wao wanaokatsha tamaa ni wale wanaume suruali ambao hawawezi kukidhi vigezo watakavyo wanawake kama unaona post haikuhusu pita kushoto
  7. Tatus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kuwa na mpenzi Roboti?

    maroboti yapo mengi tu mtu anakuwa mpenzi wako hata hela hakupi hadi umuombe huyo ni roboti
  8. Tatus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulishawahi kusema huwezi kufanya kwenye mapenzi/mahusiano ila ukaishia kufanya?

    niliapa sitakuja kula koni kwa kinyaa nilichokuwa nacho ila nashangaa siku hizi hadi uji wake nameza
  9. Tatus

    JamiiForums Tanzania Tuwe waangarifu tunapoenda maliwatoni

    iliwahi kutokea kwetu hiyo tulifunua mfuniko wa chemba wakati wa kusafisha tukasahau kurudishia mfuniko usiku mtu alipoingia toilet akakutana na nyoka kwenye sink
  10. Tatus

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wanawake wa mjini wanavyoishi maisha mazuri na huku hana kazi

    asante kwa kunipa mbinu
  11. Tatus

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

    kila la heri Wema
  12. Tatus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kesho asubuhi nitampakia kwenye basi arudi kwao na nisimuone tena

    kweli kabisa hujui binti ana nini huwenda ni muathirika ongea naye taratibu na uwe wazi ni kipi ukitakacho kwake kama ni ndoa basi ufuate taratibu sio siku ya kwanza tu unataka mzigo
  13. Tatus

    JamiiForums Tanzania Najipanga upya

    amen Mamaafacebook
  14. Tatus

    JamiiForums Tanzania Najipanga upya

    hapa pesa sio tatizo
  15. Tatus

    JamiiForums Tanzania Najipanga upya

    Yaani valentine ya mwaka huu nimeshinda ndani tu sikuwa na wa kutoka naye kama wenzangu ngoja nianze mapema kabisa kufanya mipango kwa ajili ya mwakani. Roho iliniuma mno hasa nilipoona watu wanapita wakiwa wawili wawili wakienda dinner,ngoja nianze mapema kujipanga upya mwakani isinipite tena.
Back
Top Bottom