Recent content by TATOO

  1. T

    Mwakyembe awafukuza kazi wafanyajazi 13

    kwahiyo kama amestaaf wizi alioufanya umestaafu?????
  2. T

    Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

    ANAYETAKIWA KUJIBU hayo maswalini kamani ni kwanini mtu astaafu mwakajana na mpaka sasa anasomeka km mtumishi inamaana kwamba wanalipa mishahara hewa kibao
  3. T

    Yafahamika: Meli iliyobeba sukari haikuzama kama ilivyodaiwa, shehena imeibiwa na kuuzwa Kenya

    hao hawajui wanachokisema....hiyo meli ni zaidi ya bilion mbili...wao wanaropoka tu
  4. T

    ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

    chama cha akina mwigamba+zitto+kitila... ndio maana kina jina la KANISA
  5. T

    La Zitto Kuvuliwa Nyadhifa CHADEMA: Mhe. Zitto, Please! Play It Cool!-Usijibizane Mitandaoni!.

    we unaejiita pasco nadhan siasa huijui badala yake we ni shabiki wa mtu fulan unaemtaja....pole sana...
  6. T

    Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    S0778/0067/2005 tafadhal msaada jamani hapa saut bukoba...baed
  7. T

    Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    S0778/0067/2005 naomba msaada wenu wanajamvi tafadhali kunitazamia hiyo namba kama ntakuwa nimefanikiwa kupata mkopo nipo SAUT-BUKOBA ,,BAED.
  8. T

    Maudhi ya operesheni kimbunga!!

    wewe kama sio mtanzania rudi kwenu bwana mnatubana sana hapa nchini kwetu acha kuleta majungu hapa jamvini....mbona hata mie nakujua wewe ni mkenya
  9. T

    Bodi ya Bandari yamuondoa Kipande, Mwakyembe aizuia

    inaonekana wewe umetumwa na mgawe hapa jamvini au we ni kijana mtoto wake ada uliyokuwa ukilipia nje ya nchi imeisha na hakuna pa kuiba tena.....acha mwakyembe afanye kazi sisi ndio wananchi tunaona anafanya kazi akikosea tutamwambia na sio wewe kibaraka
  10. T

    kazi ya duka

    naona wewe una hamu ya kumuita mtu mwizi au kujionesha mbele ya watu kwamba wewe naye umeibiwa....wewe unawezeakuidhi kwa hicho kisai kidogo cha pesa????? au mkuki mtamu kwa nguruwe??
  11. T

    Operation ya JK imeendeshwa kinyume

    we ni mbuzi sana tofauti ni kwamba ni kwamba ni mbuzi unaekula ugali......na wewe kama ni mjuu wao au mjomba au shangazi yao utakwenda na lazima tukufikie tu
  12. T

    Mateso kwa wahamiaji haramu -Hofu kwa wananchi wa Kagera'

    inaonekana wewe naye ni mhamiaji haram kwasababu unachokiandika hapa ni cha kijinga sana,,hivi wewe unaweza kuipinga kazi inayofanywa na rais??? kwani kuna mtu aliwaita kuingia tanzania na kuanza kufanya ujambazi?? acha waondoke ili majeshi yetu yatapambana nao vizuri wakirudi kuvamia kama...
  13. T

    Salute Kwa Rais Na Waziri Membe:- Hatimaye Mnaongea Lugha Wanayoijua Vizuri The Banyamulenge!!

    acha waende kwao ili tukianza kuwapiga tusiwe na ndumila kuwili wa kupeleka ujanja tunaotumia kuwapiga,,,so tukiwapiga tunakuwa tunajuwa hakuna jmaa yao hap
  14. T

    Muhimu: Kulinda ajira za wazawa Tanzania...

    sio wageni tu mh...nape bali watoto wa viongozi na watoto wa wajiriwa katika idara hizo ndio wanopewa kipaumbele sana hawa wageni hakuna anawalalamikia bwana mkubwa mbona unakwepesha mambo na kati ya wanaolalamika ni mimi hapa.....
  15. T

    Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

    wawafukuze tu kama hawafyata taratibu,,,,,we unataka tufuge majambazi,,,??? kani ulishasikia hao watanzania na wao wanateka magari na wanafanya ujambazi huko kwao???? acha ubwege wewe....kama wewe naye ni mkimbizi au mvamizi wa nchi yetu ya tanzania ondoka au kama wewe naye ni jambazi ondoka...
Back
Top Bottom