Recent content by tathmini

  1. T

    Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

    Loh, hapana! Ingawa Gwajima anaelezea nini kianze kati ya reli na kuchimba chuma, wewe umepotoka kabisa kufikiri kuwa chuma ni bidhaa kama zingine tu. Ukiacha Uingereza, nchi ya kwanza kuwa na viwanda, nchi zingine zote zilizoendelea zimeendelea kutokana na chuma na makaa ya mawe. Soma kuhusu...
  2. T

    Video ya Mahubiri ya Askofu Mwingira yaondolewa mitandaoni

    N Nimependa ulivyojiweka wazi kuwa unafanana na aliyepita. Mko nyuma miaka 100 hivi
  3. T

    Dkt. Kasheku Musukuma awashukia kama mwewe wanaomuonea kijicho

    Yaani kuongea kwa hamasa bungeni ndiko wewe unaona kuna faida kuliko wenye PhD za kweli wanaofanya utafiti, wanaofundisha wengine elimu ya juu, wanaoweza kubuni na kutafsiri mienendo ya dunia kwa nyanja mbalimbali, wanaotafakari na kubuni mipango ya taifa, wanaowakilisha taifa kwa mataifa na...
  4. T

    Rais Samia muwajibishe Waziri Mwambe kwa kusema uongo kuhusu Bandari ya Bagamoyo

    Ndiyo, inawezekana kufanya hivyo. Kwanza, jiwe la msingi linaonyesha commitment ya Tanzania kwenye mradi; Kuwepo kwa wawekezaji hao pale kunaonyesha uelekeo tu, siyo commitment kwao. Pili, kunaweza kuwa na makubaliano ya MOU, siyo agreement. Kwa uwekezaji huo, unahitaji agreement. Tatu, lugha ya...
  5. T

    Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

    Tumheshimu Gurnah mwenyewe. Pamoja na kuikimbia Zanzibar, bado anajihisi kuwa ni Mtanzania, na sisi tufurahie hisia zake kuwa ni mwenzetu. Tusiwahukumu watu binafsi waliojikuta kuwa wakimbizi kutokana na mapinduzi ya 1964. Mapinduzi yo yote yana uzuri na ubaya, na yanaathiri watu kwa utofauti...
  6. T

    Nyomi ya maandamano kupinga chanjo nçhini Uingereza: Kwa wale mbumbumbu wanaodhani upinzani wa chanjo ya corona upo TZ tu!!

    Ukitaja jambo nusu nusu kwa makusudi una ajenda ya kusema uongo. Jacob Desvarieux alikuwa na kisukari kikali hadi alipoteza figo. Alikuwa na figo za kupandikiza. Ili figo hizo zifanye kazi ilikuwa ni lazima atumie dawa za kuzuia kinga (immunity suppressing drugs). Maana yake ni kuwa alikuwa...
  7. T

    Kwa hukumu hizi; Je, Mahakama za Tanzania zinatumia Sheria tofauti ?

    Bila kuitetea Mahakama, ni wazi umekimbia bila kusoma sawasawa. Kuiba na kusababisha hasara ni vitu viwili tofauti mno
  8. T

    Askofu Gwajima anamuonea Waziri Gwajima kijinga

    Hapana. Sayansi ya ubora na usalama wa chanjo hizi vilijulikana wazi toka mwaka 2020 mwishoni. Kwa sababu tusizozijua ndipo Uongozi wa Tanzania ukapiga vita chanjo. Waziri Gwajima na wenzake walijua ubora na usalama wa chanjo wakati huo, lakini wakaendelea kuwadanganya watu kuwa ni mpango wa...
  9. T

    Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda? Siri ni hii

    Wewe unashindwa kuandika kinachoeleweka , halafu unalaumi watu! Tatizo ni wewe!
  10. T

    Wapangaji waijulishe TRA kuwa nyumba si zao ili TRA isifanye kosa kuwatoza kodi ya jengo

    Kwa ghorofa ni shilingi 120,000 au zaidi na zaidi kwa mwaka. Hizo ni ndogo? Mpangaji amlipie mwenye ghorofa? Umetafakari kabla ya kubeza?
  11. T

    Msimamo wa Rais Samia kuhusu demokrasia ya kisiasa, fujo za kisiasa na fujo za kidini: Tutaelewana tu!

    Kila haki na wajibu vimeorodheshwa kwenye sheria. Onyesha msimamo wako kisheria
  12. T

    Polepole aweka msimamo wake wa kutochanjwa

    Uko nyuma sana. Tuko Phase IV. Ni ya monitoring real vaccination. Hakuna placebo hapo au dada yake
  13. T

    Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

    Kweli ujinga ni ghali. Eti sasa wananchi wa kawaida wana elimu ya kujua kilichomo kwenye chanjo kuliko wasomi. Yale yale ya kutotaka maprofesa na kuwataka akina Musukuma/Msukuma. Nchi imerudi 1950
Back
Top Bottom