Recent content by TataMadiba

  1. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Wakenya walia na matukio ya uvunjifu wa amani yanayoendelea nchini kwao

    Wakenya wameonesha kusikitishwa na matukio ya uharibifu wa rasilimali na mali za umma na za binafsi Nchini humo, wakisisitiza kusimama kidete na Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ya kutaka udhibiti mkali kwa wote wanaohamasisha na kuratibu matukio ya uvunjifu...
  2. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Ismail Jussa amkosoa Mnyika

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo kwa upande wa Zanzibar, Ismail Jussa, amemkosoa vikali Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, kufuatia kauli zake alizozitoa hivi karibuni akidai kuwa mwasisi na kiongozi mkuu wa zamani wa ACT, hayati Maalim Seif...
  3. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole teknolojia haidanganyi

  4. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole teknolojia haidanganyi

    Umesahau uliyoyasema huko nyuma?
  5. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Pongezi 12 kwa Rais Samia

    Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa uchache hizi ni pongezi kwa...
  6. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

    1. Huu Muungano hauna Madhara kama ilivyokuwa Muungano wa UKAWA. 2. Wafuasi wa ACT-walimeguka kutoka CHADEMA 2015, Wengi wao hawatakubali kula matapishi yao kwa sababu tu ZITTO amewasaliti, badala yake watampigia kura Jembe JPM. 3. Wana CUF waliompigia kura Lowassa mwaka 2015, wengi watampigia...
  7. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tusimuache Lissu atuahidi yasiyowezekana

    TUSIMWACHE LISU ATUAHIDI YASIYOWEZEKANA. Na Thadei Ole Mushi. Kwenye kampeni za Lisu ana Mambo makubwa mawili anayowaomba watanzania wamchague nayo. Moja ni malalamiko yake ya kupigwa risasi hii Kwake Ni Kama Kete ya kuwaomba watanzania wamuonee huruma aingie Ikulu. Jambo la Pili ni Sera zake...
  8. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya kumsikiliza Tundu Lissu akiwa kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo, nimejiridhisha ni mgombea dhaifu zaidi awamu hii

    Amesema: 1. CHADEMA wataisaidia ACT-Wazalendo kushinda Zanzibar 2. Baada kupona akiwa Ubelgiji ametembea sana na kwamba Tanzania ya Magufuli haina rafiki hata mmoja nje eti Mkapa hakuzikwa na mataifa ya nje 3. Wakienguliwa kugombea wataingia barabarani 4. Chadema wameweka wagombea...
  9. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lema kuwa angekuwa serikalini wangeingia dili la siri na Laizer kuna kitu cha kujiifunza, lakini pia tumpongeze Rais Magufuli kwa uwazi

    Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwandishi wa habari na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kuhusu Serikali kununua mawe mawili ya Madini ya Tanzanite ya Bilionea Aniniu Laizer kwa Tshs. Bil.7.8. Hakika nimesikitishwa na kauli ya Lema kuwa angekuwa Serikalini wangeingia dili la siri na...
  10. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

    Zitto anatapatapa. Hivi vyuo viko chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto.
  11. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Zitto alipompinga Lissu na kusema kuomba nchi inyimwe misaada ni uhayawani

    Hii ilikuwa ni Mwaka 2017. "Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amekuja juu na kutoa ya moyoni akionekana kutofurahishwa na taarifa iliyosambaa kwenye vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandaoni ikitokea Chama cha demokrasia na maendeleo- CHADEMA" Kauli za Zitto zilifuatia taarifa...
  12. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Wazungu wana akili, wameweka mtego, wakifanikiwa hili la mimba mashuleni wanakuja kwenye lengo lao hasa, Ushoga!

    Zamani walikuwa wanarudi hizo shule za Serikali? Magufuli kawaweza kwelikweli mnatapatapa hovyo
  13. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Wazungu wana akili, wameweka mtego, wakifanikiwa hili la mimba mashuleni wanakuja kwenye lengo lao hasa, Ushoga!

    Hyo sheria ilitungwa mwaka gani? Hao akina Zitto wako bungeni miaka nenda miaka rudi leo ndo wanaiona baadfa ya Magufuli kudhibiti mianya yao ya kutuibia?
  14. TataMadiba

    JamiiForums Tanzania Wazungu wana akili, wameweka mtego, wakifanikiwa hili la mimba mashuleni wanakuja kwenye lengo lao hasa, Ushoga!

    Ndiyo wanajua kuna Watanzania Majuha wanawaunga Mkono . Najiuliza hivi hawa Watoto wanaopata ujauzito Mashuleni wameanza kuzuiliwa kurudi awamu hii? Nakumbuka wakati nasoma kuna wanafunzi walikuwa wakipata ujauzito, wanachukuliwa na gari la shule chini ya ulinzi wa Matron wa shule na Polis hadi...
Back
Top Bottom