Jaman hiv report ikisomwa jtano mtabadili maneno yenu au lah? Am proud of werema na naamin report itaonyesha ni namna gani alivo makin kuishauri serikar maana hakuacha ata chembe ya taratibu zakisheria..sasa mie nasubir jtano then ttashauri jukwaa la siasa mods wajaribu Ku weigh nan anaweka nn...
Safi Sana kuna watu wanamasilai chanya na nchi yetu kutetea hili lakin wanaaindwa kua recognized kwa ushabiki wa wapuuzi wachache na maslai yao binafsi
Echo werema jaji kwa kulisimamia hili bila woga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.