Recent content by Taso

  1. T

    Kama mzaha hoja ya Mbunge Shabibi inaweza kutungiwa Sheria kuongeza maumivu kwa wananchi

    Njia moja ya kuwakataa hawa heartless jambazis kwa mfano ni kumpiga chini huyu Shabiby uchaguzi ujao. Tuwe serious na mambo yanayohusu uhai wetu Watanzania, tuamke! Na pia tuache kuitukuza serikali kwenye kila nyanja ya maisha yetu. Siku Kuu ya Pasaka inaweza kunoga bila kumwita Majaliwa akae...
  2. T

    Kama mzaha hoja ya Mbunge Shabibi inaweza kutungiwa Sheria kuongeza maumivu kwa wananchi

    na tusidhani hiyo bima itafanana kwa wote. Ukienda kwenye dirisha la bima pale Aga Khan, kuna karatasi imebandikwa ukutani inasema kama hufanyi kazi kwenye taasisi zifuatazo usisogeze pua yako dirisha la kushoto: Benki Kuu... Bunge... NMB... TRA Workers Compensation Fund... Ofisi ya...
  3. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    Samia kakamilisha the dirty job, kamuondoa Makonda kinguvu. The take home lesson ni kuwa KATIBA ya CCM haina nguvu mbele ya Mwenyekiti. Siku Mwenyekiti akiona Katibu Mkuu Kinana anamzibia mishe zake CCM (kumbuka Samia anapenda sana viongozi vitoto vitoto vinavyomwamkia Shikamoo Mama akiingia...
  4. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    Ni kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za CCM. RAIS, au kiongozi yeyote wa serikali, hawezi kuwa kiongozi ndani ya chama bila idhini ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. Mwenyeki hakupata idhini ya Kamati Kuu. Ndo maana Makonda kaitishiwa kikao NEC wamtengue haraka.
  5. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    Anhaaa, wanamtoa Uenezi halafu ndio wanamwapisha RC Kama uetuzi wa u-RC hauna tatizo, kwa nini wanamtoa Uenezi ????
  6. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    Si lazima tuheshimu taasisi ya Rais. Hizo ni mentality za ki third world. Na ndo zinaturudisha nyuma. Viongozi wetu hawako accountable for anything they do. They are basking in impunity Tunapaswa kumkosoa Rais!
  7. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati vyote ni vyeo vya serikali Mfano wako ni mbovu Katibu wa CCM hawezi kuwa Mkuu wa Mkoa Ndio maana leo NEC wanaenda kumwondoa Tusijitoe ufahama kutetea kishabiki uozo wa kiutaratibu na kikatiba
  8. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    yes we care, what do you mean who cares? wanachama wa CCM wanajali, na wananchi wanajali, wale wanaojua madhara ya viongozi kuvunja taratibu bila kuathirika, administrative impunity
  9. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    kamuongezea jukumu kivipi wakati hawezi kufanya majukumu yote mawili ?
  10. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    hawezi kufanya kazi zote mbili, kwa hiyo NEC inalazimika kum replace, kusema kwamba bado ni Mwenezi ni kujitoa ufahamu Mwenyekiti ametumia mabavu kuidharau NEC
  11. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    archetypical third world mentality taratibu, sheria na katiba zetu ni upuuzi, si lazima zifuatwe
  12. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI TOLEO LA 2022 IBARA YA 102 Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa zitakuwa zifuatazo:- KIFUNGU CHA 12 Kuchagua Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Itikadi na Uenezi KIFUNGU CHA 21 Kumwachisha au kumfukuza Uongozi kiongozi...
  13. T

    Zanzibar inaharibu sifa ya Tanzania

    Kama bado unaamini Muungano unaweza kuwa na faida then usije kulia lia machozi na mafua hapa. Tutafakari faida! Nani atafakari, wewe tafakari halafu uje utuambie! Hamjui kama faida zipo au hazipo miaka 60 imepita, mtajua lini sasa ???? Yani Tanganyika bado mnabembeleza Muungano ? Mazuzu sana...
  14. T

    TBC, mnaajiri mambumbumbu?

    Mtu akisoma taarifa hii, kama ana akili, lazima aangalie ramani kujua jee, kupitia ziwani kunaweza kumrahisishia msafiri japo kipande cha safari kwenda kwa mfano Rwanda kutokea Mwanza ? Hapo ndio utajua ni kwa kiasi gani kauli ya serikali imekosewa na labda walinuia kusema nini. Lakini wewe...
Back
Top Bottom