Tena ni watumwa Haswaaaaaa,lakini siku wakiumbuka hao wanawaabudu sijui watafanyaje,Mimi ni mwanachadema wa kweli lakini kamwe siwezi kuyafumbia macho maovu ya viongozi wetu,hivi wanachadema hawa mmerogwa na Mbowe? au kawatia upofu?
Leo unakana kijana,kama mwenzio Kilewo alivyoukana waraka wa siri juu Zitto..Yaani Nyie vijana mnatuharibia chama,hata Zitto akifukuzwa Nyie pia mnatakiwa kuondoka.
Nakuunga mkono kamanda mwenzangu,ni kweli Zitto na wenzie ni wakosefu lakini pia Mbowe na wenzie Si malaika..Kuna haja ya kuchukuliwa hatua kina Lema,Kilewo,Saa nane na wengine waliokuwa wakimshambulia Zitto kwenye media.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadena mkoa wa Arusha Ndg. Samson Mwigamba asema hatoki chadema,na wala hataomba radhi.
Source; Mwananchi
============
TAARIFA YA SAMSON MWIGAMBA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU WARAKA WA MKAKATI WA MABADILIKO 2013
Jumatano, 27 Novemba 2013
Jana katika taarifa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.