Recent content by tarime yetu

  1. T

    Mwanasheria na Mbunge Wa Chadema Tundu Lissu Atuombe Radhi Taifa Amemdhalilisha Baba Wa Taifa!!

    hakuna siasa chadema ni matusi na mipasho tu, mwenye akili timamu hawez wasikiliza
  2. T

    CV ya Dr. Francis

    hahahahah hatariiii kweli kweli, mimi huyo anaejiita Moses machali namfahamu vizuri, huwa namshangaa sana huyu jamaa siku zote tunamstahi lakin anaona watu vichwa maji kama alivyo yeye huyu jamaa ni mrundi kabisa, mm namfaham nimesoma nae tena ni slow learner sijapata kuona. sio mtanzania na...
  3. T

    Wapi Zitto Kabwe bunge la katiba?

    Povu litakutoka sana willafrica..
  4. T

    Wapi Zitto Kabwe bunge la katiba?

    Jamaaa wapuuzi kweli nyinyi, mlivyokuwa mna mbagua mlidhani nn? Kaeni na ubaguz wenu na ukabila wenu na ugomvi na maneno ya karaha...
  5. T

    CV ya Dr. Francis

    Nyamizi kichwa maji kwelikweli..wewe sidhan hata kma std seven ya kayumba kama ulimaliza...historia inasema waz Congo wanaitwa Kasavubu..mmekimbia umande sasa povu linawatoka...fanya tafiti za kutosha sio uje na pumba zako hapa..huyu jamaa ni francis kasabubu...lakin hata ukienda burundi kuna...
  6. T

    CV ya Dr. Francis

    kaka tunakazi sana, tena kubwa ya kustaarabisha hawa watu..yaani mtu akipishana nao kimawazo tu basi imeshakuwa ugomvi na chuki. hayo ni mawazo yake francis, sio lazima afanane na mawazo ya ukawa.. tangu mchakato wa katiba unaanza huyu jamaa amekuwa ana endorse serekali mbili sasa leo kusema...
  7. T

    CV ya Dr. Francis

    asante sana mkuu...hawa watu wanalevel ndogo sana za ku-analyze issue na ndio maana hata comment zao zimejaa matusi na mipasho..kwanza wanakurupuka tu huyo aliejitia kuleta CV jukwaan haijui kaikosea na ndio maana hata alichokizungumza dr. francis hawakukielewa.. sio lazima tufanane kimawazo na...
  8. T

    Dr Francis Michael Umetuangusha Kwa Hoja dhaifu katika dhana ya utafiti

    jamani hicho ndicho anachokiamin yeye na anapaswa kuheshimiwa hata kama yuko kinyume na mawazo yenu. yeye anaamini serekal mbili ndio sawa sasa hebu tufike wakati tuwe wastarabu na tunaoheshimu mawazo ya wengine. usilazimishe jinsi unavyohandle stress zako wewe na wengine wazihandle namna hyo...
Back
Top Bottom