Recent content by Tareman

  1. Tareman

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wanaiba kwenye salio la kawaida

    Toka lini aliyeshiba akakupigania wewe mwenye njaa[emoji3525][emoji24]
  2. Tareman

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wanaiba kwenye salio la kawaida

    Yani ni wizi wa wazi wazi🥲 mi nitakaa mbali nao wacha waendelee kuibia wengine
  3. Tareman

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wanaiba kwenye salio la kawaida

    Solution ni kukaa tu pembeni[emoji15] wanatuumiza sana kwenye bajeti zetu
  4. Tareman

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wanaiba kwenye salio la kawaida

    Sasa nihamie mtandao upi[emoji15] Tigo na Airtel hawana internet nzuri
  5. Tareman

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wanaiba kwenye salio la kawaida

    Kumbe wamezoea kutuibia wateja, mimi na wezi vitu viwili tofauti, namalizia MB zangu zikiisha naivunjilia mbali hiyo line yao
  6. Tareman

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wanaiba kwenye salio la kawaida

    Shida ya Airtel kuna muda inakosa nguvu kwenye Internet
  7. Tareman

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wanaiba kwenye salio la kawaida

    Pole ndugu, kwa hali hii siwezi nahitaji kubadilisha mtandao, hivi Halotel wapoje kwenye Internet? Voda sitaki tena kuwasikia
  8. Tareman

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wanaiba kwenye salio la kawaida

    Huu mtandao wa Vodacom kwa sasa naona umekuwa na system za kutuibia wateja wake kwenye upande wa salio la kawaida. Nimekuwa na changamoto katika mtandao huo takribani miezi kadhaa yaani kila nikiweka salio wananikata Tsh 200/=, bila taarifa yoyote. Nimewasiliana nao mara kadhaa lakini sijapata...
  9. Tareman

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NEW CONNECTION, MKOA WA DAR ES SALAAM Naomba kufahamu bei halisi ya ufungaji wa umeme kwa mteja mpya ndani ya mkoa wa Dar es salaam.
  10. Tareman

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Gharama kamili ya kufungiwa umeme ni kiasi gani (mkoa wa Dar)
  11. Tareman

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

    Mwenye nacho hupewa tena kikiwa kingi unapewa bila kuulizwa chochote
  12. Tareman

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

    Wanawake wa kipindi hiki(digital) hampendi kujishughulisha ili kulea watoto wenu mbadala wake mnahangaika na wanaume ambao wamewakimbia kwa sababu wameshakuona hueleweki au pengine msumbufu na yeye ana familia nyingine kwako ilitokea dharula tu. Mimi na ndugu zangu tulilelewa na mama yetu...
  13. Tareman

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee hivi bado wapo tu vijana wa hovyo kiasi hicho[emoji28][emoji1787][emoji1787]
  14. Tareman

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

    Kwa huo ujasiri ulioutapika hapo[emoji122][emoji122]inatosha ujengewe sanamu kwenye makao ya ustawi[emoji28]
  15. Tareman

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

    Upo sahihi Ndoa zina changamoto nyingi mno
Back
Top Bottom