Recent content by Tardy

  1. T

    Waziri Bashungwa, mikoani hatuhitaji mabasi ya mwendokasi

    Kihuduma hatuna mwendo kasi hapa nchini,kuwa na mabasi marefu halafu kila baada ya dk 2 mmesimama ndio kasi hiyo?
  2. T

    Joseph Selasini na mamluki wenzake kuburuzwa mahakamani

    Mamuluki kila kona,kwenye uchumi tozo,vyama vya siasa mamuluki,bungeni wanatwambia tunauzwa.Tukimbilie wapi
  3. T

    Majasusi wa Tanzania fungueni macho. Teueni watu wenye uwezo sio kwa kujuana

    Suluhu ya idara hii isiwe chini ya waziri anayeteuliwa na Rais aliyepo madarakani.Msiwalaumu waliomo kwenye hiyo idara.Tujilaumu na Bunge letu kuchanganya wanataaluma wa idara nyeti na makada CHAWA NA WAPAMBE hadi Bosi ananuna.
  4. T

    Tundu Lissu: Baada ya kauli ya Serikali kututaka turudi, mimi na wenzangu tunajiandaa kurudi

    Haaa Bodaboda hawastahili kufaidi uumbaji wa mola?
  5. T

    Tundu Lissu: Baada ya kauli ya Serikali kututaka turudi, mimi na wenzangu tunajiandaa kurudi

    Lissu ni muwazi,mkweli na mvumilivu,hujenga hoja kwa ushahidi. Ajabu moja ya Lissu hata kama adui yake ameongea jambo la haki kisheria huwa anamuunga mkono bila kujali itikadi zao.
  6. T

    Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Kama ambavyo hatukujua 7baya atakuja funguliwa mashitaka ndivyo hata CDF mpya ni fumbo.
  7. T

    Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

    Ameleta hoja as if ni saccos au vikoba.Mabeyo Mungu akumwihitaji akiwa madarakani pia hatamuona mtu wakumrithi?
  8. T

    Wabunge wa CCM kumpigia debe January Makamba kwa namna alivyofeli ni kuwakebehi na kuwadharau Watanzania

    Waliompamba walipewa mlungula,kupata control number ya malipo Tanesco ni karne inapita. ukishalipia, kuunganishiwa subiri jirani na uchaguzi. Umeme ukiingia tu TOOZO hadi kupukuta vumbi kwenye nyaya. Ni bora mtu akipata kuwa tu ajaze fomu ya Tanesco
  9. T

    Mbunge wa CHADEMA ang'aka kuhusu wahujumu uchumi kuachwa huku wenye kesi ndogo wapo jela

    Hata yeye mhujumu uchumi,huwezi sema Mimi nimwana familia huku wazazi wako wamekukataa?
  10. T

    Kikosi Kazi kimeundwa na Msajili sio Rais, na wajumbe wake hawajaapa mbele ya Rais

    Hicho kikosi kazi kinapeleka hayo mapendekezo kwa nani,Hugo msajili aliteuliwa na nani ili aunde kikosi na kwa sheria ipi
  11. T

    Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

    Tena mbigili hazikuziwi,Nyodo za madaraka kupitia mtu mmoja machungu yake
  12. T

    Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

    Sure,uhuni alioutumia kuumiza watu ndani na nje ya mipaka ya mamlaka ya utawala wake,ndio uhuni huohuo unatumika kwake kwani mfumo ni uleule.Wengine wajifunze."UNAKUWA MPAMBE HADI BOSI ANAKASIRIKA"Sugu hawakumuelewa akiwa bungeni.
  13. T

    Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

    Hajisikii vibaya kwakuwa ipo kwenye damu.Labda anaandaa namna atakavyoingia 2025.Mzee wa bakora
  14. T

    Wakili wa Sabaya: Kinachoendelea Moshi ni ubatili

    Sheria zingekuwa zinafuatwa huo ubatili usingetokea.Wakili wake anaongea mfumo kisheria.Kulazimisha jambo nje ya sheria ndiyo ubatili
Back
Top Bottom