Recent content by Taoism

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kweli ni ipi hapa kuhusu hekalu alilojenga Suleiman?

    Jitahid kujiimarisha zaidi kiroho.,,soma vizuri Mwanzo ,kuzaliwa Yesu na ufunuo chapter 19 verse 11 -16,utaona kwamba Yesu ni "Neno la Mungu" ,,kimwili ni mtu aliyejitambulisha kama mwana wa Mungu",sasa Kwa mkristu ni lazma uijue lugha ya Mungu Kwa kutafakari na kufundishwa na Roho mtakatifu...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

    # kataa muungano,ni utapeli.kichaka cha ccm
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

    Wadau huu Uzi unanihusu 100%.nipo kwenye mahusiano na mwanamke alikua muislam Imani Kali(suni) ila Kwa sasa amebadili dini kuwa mkristo.tena kawa mkristo kwelkwel ,kila out anataka tule mdudu(kitmoto).Ila itoshe kusema watu kubadili dini sio Jambo dogo, huwa ananiambia madhila wanayopitia...
Back
Top Bottom