Ndugu yangu appritiator kwa uandishi wako inadhihirisha wazi wewe ni mmoja wa watu wanaofaidika binafsi na mkanganyiko wa kisheria uliopo katika kusimamia vibali vya kazi vya wageni hapa nchi. Mfumo uliopo unaruhusu taasisi na Sheria zaidi ya moja kutoa vibali vya ajirakwa wageni hali ambayo ni...
Kwanza hakuna Wilaya inayoitwa Bariadi, tunatambua nyie akina "Simuyu Kwetu" na wengine mpo kwenye Lumbumba Project, ikiwa ni mbinu butu ya kujibu mapigo ya wana CDM, tunamshauri Ndugu Mnawie ambaye ndiyo masimamizi wa Project hiyo aajiri watu wenye uelewa mpana wa kuweza kujenga hoja au kujibu...
Nakuunga mkono asilimia 100, inasikitisha kuona huduma duni za afya, kwenye hospitali tunayiita ya kitaifa, wagojwa wanalala chini au kwa ku-share vitanda na magodoro chini, mashule watoto wanakaa chini kwenye vumbi, hamna kiongozi anayejali wananchi wanavyoteseka na misongamano ya magari dar es...
Mangula kaanza kuweka uwongo huo kuwa kuna wana-ccm walipewa hela wakarudishi ili ushahidi wa uwongo utolewe kwenye hiyo kamati inaitwa ya maadili kwa lengo la kumbana Lowasa. Ni wazi usiopingika kuwa zoezi lote hilo mlengwa ni Lowassa. Je watamuweza?, je wana woga gani na Lowassa?, kunani kila...
Wakuu mpo sahihi
Lakini mmesahau stages nyingine muhimu
SUala la ujenzi wa reli kwanza liwe ni nia ya mgombea urais wakati wa kampeni, baadaye lianinishwe kwenye Ilani ya chama kuwa ni moja ya agenda kama kitapata ridhaa ya wananchi, then wazo hili lipelekwe kwa wadau ili kuapata maoni, na...
Kutokana na ubinafsi uliokithiri jambo hili la kujenga reli siyo priority kwa sasa maadamu malori ya viongozi yamejazana barabarani. Molori hayo ni ya watoa maamuzi, hivyo ujenzi wa reli ya kisasa kwa faida ya nchi, kwao ni mwiko maana watapata hasara, Uko hapo Ndugu!!!!. Tz mlie tu.
TZ hawawezi kujenga reli ya kisasa katika kuimarisha "central corridor" kwa sababu moja kubwa,ubinafsi wa watoa maamuzi. Wao ndio wamejazanisha barabara kwa malori yao, reli itauwa biashara yao, hivyo suala la kujenga reli kwa manufaa makubwa ya nchi halitakaa litekelezwe. hiyo moja. Ya pili ni...
Wewe wasema, huo ndio ukweli mtupu. Wakati Kenya, Rwanda na Uganda wanasonga mbele, Tz wamebakia na politiki na kulalama kama watoto wadogo. Rais Kenyata kawapa vodonge vyao jana wakati anafungua ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Mombasa hadi Bjmbr na Juba kuwa waache upuuzi. Tz kwa kutapatapa...
Injili imegeuka kuwa biashara, na makanisa yameteka umma mkubwa wa wakiristo kwa kuamini yanayohubiriwa humo ni KWELI katika kumwinua Kristo. Ukweli ulio kweli ni kwamba wanaasimama kuhubiri wanapewa nguvu hiyo na mwovu shetani ambapo hii ni kufuru kubwa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Kwa...
Wanaojiita ni wachungaji, mitume na manabii wa aina ya Gamanywa, Kakobe, Mwingira, na wengine wote kwa mahubiri yao na kwa matendo yao wanajua wanafanya kazi ya nani na kwa nguvu ya nani. Wanajua kuwa wanalitumia jina kuu la Kristo Yesu kujichumia mali za dunia hii. Wanafanya kufuru kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.