Katika mjadala wa maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi wa taifa lolote, hoja ya uadilifu wa viongozi huwa inajitokeza kama msingi wa mafanikio.
Hata hivyo, historia ya mataifa mbalimbali imeonesha kuwa uadilifu wa viongozi hauwezi kufanikisha maendeleo ya kudumu iwapo haujawekwa ndani ya...
Wakati historia iliandika ukurasa mpya kwa taifa la Tanzania kumpata rais wa kwanza mwanamke, matumaini ya wananchi, hasa wanawake, yalikuwa makubwa mno.
Ilidhaniwa kuwa hatimaye sauti ya mwanamke ingesikika, na siyo tu kusikika bali pia kuleta mabadiliko yenye tija, huruma, ufanisi na hekima...
Katika taifa linalojivunia kuwa la kidemokrasia, uhuru wa kujieleza na usawa mbele ya sheria ni nguzo kuu zinazopaswa kulindwa kwa nguvu zote.
Hata hivyo, hali halisi ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeanza kufifisha matumaini ya Watanzania wengi waliotamani kuona enzi...
Katika historia ya mataifa, huwa kuna wakati ambapo nchi hujikuta katika giza nene la Kisiasa, Kijamii au Kiuchumi.
Katika nyakati kama hizo, hujitokeza watu wachache wenye uthubutu, maono, na ujasiri wa kupaza sauti kwa ajili ya Haki na Ukweli.
Tanzania, taifa letu pendwa, limepata mashujaa...
Wamemshauri SASHA kwamba:
“Kama njia ya kuonesha serikali yako haimwogopi yeyote unatakiwa umjibu Rais wa TEC vikali kwa kukamata wapinzani wengine zaidi badala ya kuwaachia ambao tayari wamekamatwa”
Mimi niko Mwanza ila tukiachana na Daraja la JPM ambalo awamu ya sita inalimalizia sioni kitu chochote kipya.
Vyote ulivyotaja vilianzishwa na kutekelezwa na serikali zilizotangulia, Samia ametutenga sana wananchi wa Mwanza.
Ni kweli kwamba kulipia elimu kunachochea uwajibikaji kwa sababu wazazi wanakuwa na uchungu na pesa zao jambo linalowafanya wawakazie wanafunzi kuhusu kuwa makini na masomo.
Lakini naamini kwamba wazazi wanawatakia mema watoto wao, kwahiyo sidhani kama wataacha kuwahimiza kusoma kwa bidii kisa...
Lengo kuu la bima ya afya ni kuwahakikishia wananchi uhakika wa matibabu hata pale wanapokuwa na hali mbaya kiuchumi.
Tabia ya watu kusubiri wakumbwe na ugonjwa mbaya ndipo waende kutibiwa imegharimu maisha ya Watanzania wengi. Ugonjwa hauna hodi, watu wanakumbwa na maradhi yanayohatarisha uhai...
Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika safari yake ya maendeleo. Kama Taifa ni muhimu kuandaa ramani ambayo itakuwa muongozo wetu kwa miaka 20 ijayo, ramani ambayo itagusa sekta zote muhimu katika ustawi wa nchi. Katika makala hii nimeelezea mpango wa maendeleo tunaoweza kuutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.