Recent content by Tanzanite7

  1. Tanzanite7

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Hatimaye yametia japo ilikuwa pressure juu
  2. Tanzanite7

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Anameno mengi sana,afu mipasho mingi
  3. Tanzanite7

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Nakadori mambo, namtafuta Mbape simuoni,kama kuna mtu kamuona mbape mwambie anatafuta
  4. Tanzanite7

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Umetishaa mkuu,mashabiki wengi wa mpira tupo na Argentina
  5. Tanzanite7

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Matuta wanatutoa
  6. Tanzanite7

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mmmmm,hali inatisha hadi usingizi umekata ghafla
  7. Tanzanite7

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Usingizi umekata
  8. Tanzanite7

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Dakika ya ngapi? Nimefunga naomba Brazil atoke ndio team nayo hofia ili iwe rahisi kwa Argentina kuchukua ubingwa wa dunia
  9. Tanzanite7

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Kombe la WC mwaka huu anachukua Argentina,binafsi natamani Brazil atolewe ili iwe rahisi kwa Argentina
  10. Tanzanite7

    Kupigiana simu kwa wanandoa

    You are smart enough
  11. Tanzanite7

    Waziri Mhagama kiokoe Chuo cha Utumishi wa Umma

    Unapo zungumzia mali unaishia kusema nyumba moja,hebu hizo mali anazo miliki mbona huzitajia tofauti na hicho kijumba kimoja?mshara wake unaujua?je hana mkopo kuweza support project zake nje ya kazi?
  12. Tanzanite7

    Waziri Mhagama kiokoe Chuo cha Utumishi wa Umma

    Mkuu sometimes ukawa sahihi au si sahihi, huyu unaemzungunzia Mimi namfaha huwenda zaidi yako, toka akiwa Mtwara,akaja Magogoni then akawa CEO Swali langu kwako,shinda ni madudu anayo fanya au kumiliki mali?Toka atoke Mtwara ni zaidi ya miaka minne je kwa nafasi yake atashindwa kujenga ?kwani...
  13. Tanzanite7

    Waziri Mhagama kiokoe Chuo cha Utumishi wa Umma

    Kuhusu ubadhilifu wa fedha siwezi kusemea sana,ila nacho jua mtendaji mkuu unae mzunguzia ni mtu mwema sana na ana hofu ya Mungu,ni mnyenyekevu sana Huwenda akawa na mapungufu kama binadamu,ila si vyema kuzunguzia negative tu,nahisi umeangalia upande mmoja mtoa mada
  14. Tanzanite7

    Waziri Mhagama kiokoe Chuo cha Utumishi wa Umma

    Nahisii hii taarifa imeandikwa kwa hisia negative tu,why usiangalie na positive zake mleta mada,una uhakika anajenga ghorofa Kigamboni?na hata kama akijenga Ghorofa kwa nafasi yake mbona ni jambo la kawaida tu
Back
Top Bottom