Biblia inasema ester aliolewa kwa mchakato
Kasome kitabu chote cha esta 2
Biblia inasema mfalme alifanya mchakato wa kutafuta mke wewe unasema alikuwa hawara
Ila hakuna mtu mjinga mwafrika biblia imeweka wazi ila mtu anataka atunge uongo na tumwamini
Wewe ni mjinga na biblia hujasoma unataka kutunga uongo
Mfalme alifanya mchakato wa mke na ester alishinda na mjomba ake mordekai alikuwa ni myahudi wa waziwazi hakujificha
Hujui hata kingdom zinavyooperate ila tatizo kubwa ujinga ndo unaokusumbua
Watu wameoa wake na bado wanakuwa na mgogoro na still wanaishi nyumba moja cha kushangaza ni nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.