Recent content by Tanzanian lady

  1. Tanzanian lady

    JamiiForums Tanzania CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Watanzania sisi siyo waaminifu kwenye Kazi, hatupo serious, hatujali kuiba Hadi kufilisi ukiangalia bank za Equit Tanzania nzima ni Kama 30% ya watanzania walioajiliwa huko percent nyingne yote ni wakenya..ifike mahali watanzania tujitambue
  2. Tanzanian lady

    JamiiForums Tanzania Hivi marais wastaafu mnashindwa kukemea hata hii kauli inayodaiwa kutolewa na Makonda?

    Ni wapi alipo mzee Mwinyi, ni wapi alipo mzee Mkapa, ni wapi alipo Kikwete. Mnatuacha tunauwawa kikatili namna hii??
  3. Tanzanian lady

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kuuza duka

    Yapo mengi kila mkoa
  4. Tanzanian lady

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kuuza duka

    Habari zenu wakubwa Anahitajika binti aliyemaliza form four wa kuuza duka mkoani Awe anatokea Singida,babati au morogoro awe mcha Mungu malazi ataishi kwa mwajiri. Unayeweza nitafutia huyu binti nipm
  5. Tanzanian lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy Valentine's day: Mtakie furaha ya siku ya wapendanao unayempenda humu JF

    Happy Valentine's The Boss
  6. Tanzanian lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijalala hata kidogo namuwazia huyu kijana

    Mliotukana pia asanteni
  7. Tanzanian lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijalala hata kidogo namuwazia huyu kijana

    ASANTENI KWA USHAURI WENU MZURI LILILOJEMA NIMELICHUKUA NA NINALIFANYIA KAZI NTAKUPENI MREJESHO.
  8. Tanzanian lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijalala hata kidogo namuwazia huyu kijana

    Mpaka kuamua kumuacha nikabaki peke yangu hakuwa na umuhimu wowte kwangu
  9. Tanzanian lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijalala hata kidogo namuwazia huyu kijana

    Sawa mkuu
  10. Tanzanian lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijalala hata kidogo namuwazia huyu kijana

    Haikuwa hivyo vilikuwa vipindi viwili tofauti, nafikiria nimwambie jamaa labda mzigo utapungua swali ni vipi atareact maana namjua vizuri
  11. Tanzanian lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijalala hata kidogo namuwazia huyu kijana

    Upumbavu ni upi sasa?
  12. Tanzanian lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijalala hata kidogo namuwazia huyu kijana

    Ndiyo lengo lake maana nilijitoa kwake hakuona umuhimu wangu Leo hi nimekuwa mwema kwake
  13. Tanzanian lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijalala hata kidogo namuwazia huyu kijana

    Hapo kwa Kaka au mjomba nimekuelewa nitachukua hatua
  14. Tanzanian lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijalala hata kidogo namuwazia huyu kijana

    Kinachonitisha kwao waswahili Swahili flani hivi asijenifanyia vitu vya ajabu nawaza niende police ili ishu ijulikane ila yakifika kwa husband to be itakuwaje
  15. Tanzanian lady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijalala hata kidogo namuwazia huyu kijana

    Ninachohofia ni maneno yake na ana uswahili flani hivi
Back
Top Bottom