Recent content by Tanzanian kid

  1. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    Sio poa wana balaaa
  2. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu eRITA

    Technical UX Feedback kwa Mfumo wa eRITA leo nilikua napitia huu mfumo wa kuhakiki vyeti vya kuzaliwa na vifo lakini kuna baadhi ya vitu nimekutana navyo upande wa UI/UX (user interface na user experience) kwangu mimi kama front end developer nimeona baadhi ya maeneo kama date (both birth and...
  3. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Uchafu sio mzuri katika Laptop yako, jifunze kuweka laptop yako safi

    Usafi wa Laptop:(Usafi ni Uhai wa Laptop Yako ). Unajua laptop yako nayo inahitaji “kupumua”? Yaani kama huifanyii usafi mara kwa mara, inajaa mavumbi kama kabati la bibi,Leo ngoja nikusimulie kwa lugha rahisi kuhusu computer maintenance upande wa hardware, hasa kwa laptop zako za kishua. 🔧...
  4. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Utapeli mitandaoni kupitia phishing link

    Utapeli mitandaoni kupitia phishing link na jinsi unavyoweza kujilinda. Siku hizi karibu kila kitu kiko mtandaoni kutoka kwa mitandao ya kijamii, benki, hadi mawasiliano ya kila siku. Lakini pamoja na hayo, kuna watu wanaotumia mtandao kwa ajili ya udanganyifu. Moja ya njia wanazotumia sana ni...
  5. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Je,ni UDOM pekee katika mashindano ya ICT kwa vyuo vya Tanzania?

    Hapa sasa umenifungua bro,ahsante sana
  6. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Safari yangu katika kujifunza website development

    Naaam umesema vizuri kaka muda su mrefu nitaanza kuweka vitu nilivyofanya
  7. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Safari yangu katika kujifunza website development

    Hahahahah umesema kweli kaka.
  8. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Safari yangu katika kujifunza website development

    Nimeiona kaka japo naamini nikiiangalia kwenye laptop itavutia zaidi na zaidi ni nzuri sana kaka
  9. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Safari yangu katika kujifunza website development

    💻 Nilianza na simu yangu. Sio laptop. Wakati nikiwa chuoni, nilikuwa natumia simu yangu kujifunza HTML na CSS kupitia w3schools na tutorials za YouTube. Nilitengeneza web pages ndogo ndogo kupitia simu, nikijifunza hatua kwa hatua. Sikuwa na laptop yangu kwa wakati huo, kwa hiyo nilikuwa...
  10. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Je,ni UDOM pekee katika mashindano ya ICT kwa vyuo vya Tanzania?

    Kuna jambo ambalo bado najiuliza kuhusu vyuo vyetu hapa Tanzania linapokuja suala la mashindano ya ICT. Maana naona vingi vipo kimya sana — ukiachana na UDOM (University of Dodoma). Jana nilikuwa napiga stori na rafiki yangu wa SUA (Sokoine University of Agriculture) kuhusu masuala ya IT. Ni...
  11. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania IT mpo? AI inachukua kazi zenu kimyakimya, Mjipange !! Karinga kunitengenezea website ndogo kwa elf 10 nimemaliza kila kitu kwenye ChatGPT bure.

    All in All hongera kaka japo umenichekesha (tuachane na hilo) lakini ili kuweza kupata matokeo mazuri itabidi ujifunze hiyo AI ili ikupe kitu kizuri zaidi ya hiki ndio maana tunaona China wameanza kufundisha somo la AI kwa wanafunzi wa shule za msingi.
  12. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Laptop 🧠💻

    Unataka kununua laptop mpya? Usikurupuke! Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Matumizi Yako Ni Yapi? Kwa kazi za kawaida – laptop ya bei nafuu inatosha. Kwa gaming, design au programming – chagua yenye nguvu zaidi. 2. Processor (CPU) Core i5/Ryzen 5 au zaidi ni bora kwa kazi nzito...
  13. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Mambo 6 ya kufanya Ili ufanikiwe kwenye maisha

    Hiyo kuacha kulaumu watu nishaanza kuifanyia kazi bado mapema maana nimehisi ule msemo wa "mtegemea cha nduguye hufa maskini" Ushauri mzuri sana bro
  14. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Kwani wanafunzi wakimaliza kidato cha sita ni lazima waende JKT? Kwani JKT ni lazima?

    Umemaliza form vi juzi kati nini? Haha anyway cheti cha jkt sio lazima kwenye heslb
Back
Top Bottom