Recent content by Tanzania one 2018

  1. T

    JamiiForums Tanzania Idara ya Maji Safi na Taka Wilaya ya Hai, tumieni kompyuta na mashine za EFD

    Waende bar maengineer na magari Yao binafsi, na tunashauri magari hayo yaendeshwe na nadereva tena wenye ujuzi.hii Ni kuchezea Mali za umma.katibu mkuuProf kitilia, hii unaijua,
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini. Je kuna watu walikuwa hawataki hizo REGULATIONS zisikamilishwe?

    wenye hizo REGULATIONS,waweka hapa tuzisome, na sisi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Idara ya Maji Safi na Taka Wilaya ya Hai, tumieni kompyuta na mashine za EFD

    Kuna land cruiser moja ya bodi ya maji losaa Kia,kila siku tunaikuta imepakiwa kwenye bar mjini hai,iwe usiku iwe asubuhi,iwe mchana iwe siku za sikukuu,swali gari Hilo Ni la mtu binafsi ? He kama Ni la bodi ya maji hai, linatembea na kuweka kila mahali kwa idhini na kibali cha nani? He...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa usikurupuke kwenye suala la biashara ya kahawa

    Waziri mkuu yuko sawa kinachotakiwa bodi ya kahawa ichunguzwe na ivunjwe ,PIA minada ya kahawaifanyike kwa Kanda kuondoa ukiritimba na kupunguza gharama.vyama vya wakulima na bank zao Ni shida.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji bado kuna tatizo kubwa sana

    Kuhusu uhamiaji, kupata passport,tukisema tutaitwa wachochezi,ILA ukweli halo sio shwari hata kidogo.wengine yusema vyuma vimelaza ILA huko uhamiaji sisemi neno .ova
  6. T

    JamiiForums Tanzania Idara ya Maji Safi na Taka Wilaya ya Hai, tumieni kompyuta na mashine za EFD

    Bodi zinazosimamia mamlaka za maji safi na maji taka wilaya ya siha na Hai,wao vyuma havijakaza, tujiulize kwanini na kwanini hawatunii efd mashine? TzRA Kilimanjaro mpoooo
  7. T

    JamiiForums Tanzania Idara ya Maji Safi na Taka Wilaya ya Hai, tumieni kompyuta na mashine za EFD

    Ninaunga mkono hoja 100%, PIA sio Hai Tu wilaya ya siha ,mradi WA maji magadini nao tunaomba ufuate utaratibu kulipa kwa efd, ili serikali ipate kodi na wateja wapewe bill halali tena kwa wakati.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka, Mkuu wa Mkoa wa Njombe anafanya kazi muda gani?

    alisoma PCB moshi sekondari kidato cha sita,alipata division gani?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Star-times na local channel

    Ni kweli local channel hazioneshi, TCRA mpo wapi? Tusaidieni
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tupeane Taarifa benki zinazosuasua ili tutoe fedha zetu kabla hazijatangazwa mfilisi

    Kati ya bank zenye utata Ni bank zinazosema au zinazonunua mazao ya wakulima mfano kahawa,Ni shidaaaaa, Kuna moja imekwenda kufungua tawi kule rombo Kilimanjaro,wakuliwa kuweni macho,bora mpeleke pesa yenu crdb au nmb.kwaherini
  11. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Msasani

    vyuma vimekaza ,punguza bei
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wahenga wa usafiri Kilimanjaro?

    M mawenzi
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tupeane Taarifa benki zinazosuasua ili tutoe fedha zetu kabla hazijatangazwa mfilisi

    Mimi nimeshakwenda kutoa fedha zangu Kilimanjaro cooperative bank limited ninapeleka crdb ova
  14. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amebaini madudu kwenye Vyama Vikuu vya Ushirika vya Mbinga (MBICU na MBIFACU)

    mh waziri mkuu, madudi yapp PIA Kilimanjaro cooperative union, kncu na Kilimanjaro cooperative bank limited,tunakuomba mh waziri mkuu ufike huku ,huku Kuna mchwa na sio madudu Tu.mungu akupe afya nje ututembelee na sisi.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Benki tatu kuwekwa chini ya uangalizi: Hii ni sawa na kusema baada ya miezi hiyo zitafungwa

    Kweli hii Kilimanjaro cooperative Bank ,pamoja na kuwekwa chino ya uangalizi,ninashauri vyombo vya usalama, kufuatilia hii bank, hali sio shwari hats kidogo,ikiwa Ni pamoha na kufuatilia watumishi WA hiyo bank,pamoja na meneja aliyeko na aliyestaafu. Ninakubaliana na mwendo WA serikali...
Back
Top Bottom