Recent content by Tanzania 1973

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa wilaya ya Siha, uko chama gani?

    Alikywa kwenye kikao anafanya deal la kuuza viwanja vya Halmashauri,ukizingatia alichukua gari la halmashauri kwenye shughuli za za kuoa Kyle babati likapata ajali sasa anafanya vikao visicyorasmi ili kupata pesa kutengeneza gari la halmashauri kwa siri.Over
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa wilaya ya Siha, uko chama gani?

    Mkurugenzi wa Wilaya ya Siha naomba utujuze wewe ni wa Chama cha Mapinduzi au la. Nauliza hivi maana mchana unaonekana na watu wa chama B. Je umejiunga nao?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Chuo Kikuu cha Ushirika ni jipu la kutumbuliwa

    Duniani sijawahi kuona Chuo kikuu cha aina yake kama Chuo kikuu cha ushirika moshi.chuo kina wasomi ILA hakuna research au mradi wowote wasoni hao wameweza kuifanya ili isaifie jamii? Kuna mabanda ya akina mama ntilie ndani ya Chuo ambayo wanafunzi wanaenda kujipatia chakula aibu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Bado Magufuli hujagusa hapa

    Pia hajapunguza, ukubwa WA idara za halmashauri na mikoa.mfano idara ya elimu msingi na sekondari kuwa idara moja,kwa sasa Ni idara mbili.tanesco kuwa ndani ya idara ndani ya halmashauri,nikimaanisha meneja WA tanesco awe mkuu WA idara hiyo ndani ya tanesco,kuimarisha utendaji.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mabasi yaendayo mikoani..

    Hivi
Back
Top Bottom