Recent content by TanzaLand Online

  1. TanzaLand Online

    JamiiForums Tanzania Dar: RC Makonda alipongeza Jeshi la Polisi kusimamia uchaguzi vizuri. Awaandalia sherehe ya Polisi Family Day

    [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
  2. TanzaLand Online

    JamiiForums Tanzania Waitara: Mawakala wa CHADEMA walinipigia kura

    Mbunge mteule wa Ukonga Mwita Waitara Baada ya kutangazwa kama mshindi katika uchaguzi mdogo wa marudio katika jimbo hilo amesema mawakala wa CHADEMA katika vituo vya kupigia kura walimpigia yeye. Akiongea leo baada ya kutangazwa, Mwita amesema alikuwa na matarajio ya kushinda kwa zaidi ya...
  3. TanzaLand Online

    JamiiForums Tanzania Dar: RC Makonda alipongeza Jeshi la Polisi kusimamia uchaguzi vizuri. Awaandalia sherehe ya Polisi Family Day

    Baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Ukonga na Mwita Waitara wa CCM kuibuka mshindi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuagiza Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa kuitisha sherehe ya familia itakayowakutanisha askari maarufu kama POLISI...
  4. TanzaLand Online

    JamiiForums Tanzania Tani moja ya Mitumba yaondolewa Sokoni

    Maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wameondoa kwenye soko zaidi ya tani moja ya nguo za ndani za mitumba ikiwa ni mwendelezo wa mkakati wa shirika hilo la kuhakikisha nguo hizo hazitumiwi na Watanzania. Operesheni ya kuondoa nguo hizo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika Soko la...
Back
Top Bottom