Recent content by Tanzafrica

  1. Tanzafrica

    Nimeota ndoto kama Martin Luther King

    Mimi nimeota Mtangazaji mmoja maarufu hapa Tanzania amefariki dunia. Laiti ningekuwa na namba yake ningempigia ili kumjulia hali. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Tanzafrica

    Mgegedo Poa wa Dem Kimbau mbau

    Mimi ni mwanaume mzee!
  3. Tanzafrica

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu uzi umeniburudisha kwa kiasi kikubwa sana.
  4. Tanzafrica

    DODOMA : Siri nzito tulizonazo sisi wahudumu wa nyumba za kulala wageni

    Yale maasi ya Dar yamehamia Dom, mtazoea tu
  5. Tanzafrica

    Hivi kumkataa mwanamke unafanyaje? Bila ya kumtamkia

    Kila kitu wewe uwe against her. Atakuacha tu
  6. Tanzafrica

    Nimemgegeda huyu binti ila nimebaki na maswali kichwani!!!

    Nipe namba yake tu. Hayo maswali bakinayo mwenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Tanzafrica

    Nipeni sifa za wanawake wafupi!

    Wana mapenzi ya kweli. Akipenda amependa Wanatupenda sisi wanaume warefu. Waliowengi wanajua mapenzi kunako 6×6 Ujuaji mwingi na kununanuna na visirani vyao hufanya wawe wahanga wa mapenzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Tanzafrica

    Hali hii inantesa Nisaidieni plz

    Matibabu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Tanzafrica

    Hali hii inantesa Nisaidieni plz

    Nakuja fasta kukutibu tatizo lako. Pole sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Tanzafrica

    Ina maana huwezi kunisaidia bila kukupa penzi?

    Asante tupu haijai chungu. Wahenga walisema. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Tanzafrica

    Utafiti: Ndoa kati ya mwanaume mrefu na mwanamke mfupi ndio hua ndoa bora zaidi.

    Sawa bhaana. Wafupi wamesikia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Tanzafrica

    Mgegedo Poa wa Dem Kimbau mbau

    Mimi ni mwanaume. Acha hayo maneno. Kumbuka mtoa mada pia ni me na amesema anaenda kukutana na dem slim. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Tanzafrica

    Mgegedo Poa wa Dem Kimbau mbau

    Hao wako vizuri sana kwenye 6×6. Ni wepesi na si wavivu kitandani, kila style wanaipokea fresh tu. Usiwe mvivu ndipo utakapowafaidi penzi lao. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Tanzafrica

    Una Hisi nani Anakupenda huku JF ila anaogopa Kukuambia?

    Mimi sijui kama ke wananipenda ila nahisi mimi ndiye nawapenda ila nashindwa kuwatiririkia PM kuhusu lavidavi.
  15. Tanzafrica

    Nifanyeje kuhusu huyu mwanaume

    Ukiona amekutelekeza na una mtoto wake, ni muda wa kujitafakari. Hasa kama hana hulka ya uhuni, basi utakuwa na mapungufu kwake. Mwanaume akichukia jambo huwa harudi nyuma na hawezi kuishi na jambo ambalo anajua litamtesa maisha yake yote. Amini, huna nafasi kwake kabisa. Anaogopa kukueleza tu.
Back
Top Bottom