Nipeni sifa za wanawake wafupi!

Mwisho wa siku mapenzi sio mashindano ya kuringiana. You need someone who feels for you. Someone who strives to make you smile! Sijisifii but personally i also do have that character. That sense of humor! Just finding ways to make a woman smile...always! Short guys have that all na wanajua kujali haswa!

Kesi ya matolu kuringa hio nina real life experience, nina mdogo wangu janki tu wa 21 year with 6ft now. Kafuga mindevu ukimuona ana mwili kama lebron vile na upara wake! Au madem wanavyokoma sasa. Habembelezagi yani hio biashara hafanyi! Unakuta kademu kanazira badae kanarudi kujibembelezesha tena.
Haaaahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom