Recent content by TanzActive

 1. T

  RPC Mwanza: Heche na Msigwa walitakiwa kutoa taarifa kwangu kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapa

  Heche ana Nyumba Mwz, sometimes Familia yake huishi Mwz, anaombaji ruhusa kwenda kwenye Nyumba yake? RPC kachemsha kweli kweli
 2. T

  Fao la Urithi Kwa aliyefariki chini ya 55

  Tafadhali kwenye uzoefu wa mazingira kama hayo nipeni NB mawazo Sent using Jamii Forums mobile app
 3. T

  Fao la Urithi Kwa aliyefariki chini ya 55

  Wakuu Nasubiri mawazo Yenu naamini wapo waliondokewa na wapendwa wao ,ktk hali kama hii walifanyiwaje na NSSF Sent using Jamii Forums mobile app
 4. T

  Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

  Mafao ya utegemezi hadi uwe umefika miaka ya kustaafu na uwe umechangia miezi 180 Sent using Jamii Forums mobile app
 5. T

  Fao la Urithi Kwa aliyefariki chini ya 55

  Pole sana Mkuu Mie bado sijaelewa Hawa NSSF wanaposema kama hujafika 55yrs na hujachangia miezi 180 Fao la kurithi haliwahusu familia yako , sasa ile michango yangu ndio inapotea au ? Sent using Jamii Forums mobile app
 6. T

  Fao la Urithi Kwa aliyefariki chini ya 55

  Naomba kuelimishwa . Nimecheck website ya NSSF, nikaona fao la Urithi linahusu wale wategemezi wa mwanachama wa NSsF ayechangia miaka15 au yuko kwenye fao la ulemavu, pia awe amefikia angalao miaka 55 Je? Kama s mwanachama kuchangia miaka ,mfano 9 (miezi108) akafariki akiwa na umri wa miaka...
 7. T

  Orodha ya Majina 403 ya Vinara wa Madawa ya kulevya sasa hadharani

  Nafikiri issue sio dini hapa , ni kwa kuwa hii biashara imeshamiri zaidi Pwani(Tanga,Zanzibar, Dar) ampopo kwa sehemu kubwa % ya waislamu ni kubwa zaidi ya wakristo Tuache ujinga tujadili issue
 8. T

  Lowassa aandaa waraka kumchanachana Kikwete kesho (Julai 20, 2015), kutimkia ng'ambo...

  Ngoja niulize hao waliompa mamilioni aliyokuwa anayatumia ni yakina nani ? Walikuwa wanampa Kwa faida gani Kwao (what returns they expected)?
 9. T

  Balozi Lusinde: Lowassa Safi na Anatosha

  "Urais sio kazi ya kukimbilia , urais ni mzigo, Ukiona mtu anang'angania kwenda Ikulu tena akitumia pesa nyingi ni wakuogopa kama ukoma, pale Ikulu hakuna biashara atazirudishaje pesa zake?"
 10. T

  Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

  Kwani yeye na Timu yake ya mtandao si walifanya vivyo hivyo kwa SAS 2005 ? Asilalamike aliyaanzisha mwenyew
 11. T

  Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

  Nimekuwa nikijiuliza ni kwanini washabiki wa Lowassa wanadhani awamu hii imeshindwa kufanya maamuzi Magumu? Je ni yapi hayo? Mimi naamini Rais aliyeingizwaa madarakani Kwa Marafiki zake kuwekeza pesa nyingi kwa vyovyote vile lazima atashindwa kufanya maamuzi sahihi nyakati fulani haswa Kama...
 12. T

  Wabunge wa Kamati ya PAC Wachukuliwe Hatua Kali za Kisheria

  Huyu Dada hujifanya mcha Mungu kweli kumbe naye sawa na Askfo kilaini tu ,Mchumia tumbo uroho wa pesa umempofusha hata hafikiri vizuri
 13. T

  Upotoshaji wa UKAWA kimantiki kuhusu Wabunge wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

  I' m tell you , once the Wananchi are empowered with the knowledge as Mwanadiwani puts it that will be the end of their exploiter ,CCM
Top Bottom