Recent content by tantus mwemezi

  1. tantus mwemezi

    Nauza BMW Z3 Jamani, bei poa kabisa

    Ni kweli tupate cc na namba ya whatsapp
  2. tantus mwemezi

    Forever living products

    Iko sawa mi natumia weka namba yako kwa mawasiliano zaidi
  3. tantus mwemezi

    Elections 2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

    Nadhani unachokizungumza ukukifanyia utafiti kama umefanya utafiti basi, uelewa unatofautiana, tunahitaji KIONGOZI-MTUMISHI (servant leader ) hatuitaji mwajiri mtawala,kama EX MP hapana hapana hapana
  4. tantus mwemezi

    Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Matokea ya bukoba mjini , lwakatare
  5. tantus mwemezi

    Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Tupo pamoja hamgembe rwamishenye madhurio ni shiiida ya vijana
  6. tantus mwemezi

    CCM Bukoba mjini itaokolewa na muujiza

    Kesho tutajua nani kachoka kati ya KIPALA NA KIFUBA Kyerwa,karagwe ni majibo YA UKAWA Tiyari.
  7. tantus mwemezi

    Wilfred Lwakatare tayari ameshajihakikishia ubunge Bukoba Mjini

    Ni siasa nyepesi tulihitaji mtu wa kutuvusha mtu sahihi wa sasa ni rwakas itakuchukua muda kuamini hilo tofauti na jumatatu. Ni lini uliwahi kuona kipara anaomba kula kupitia sms kwa kutumia mtandao maana yake nini MBINYO WA KIMAGHARIBI (RWAKAS)
  8. tantus mwemezi

    Wilfred Lwakatare tayari ameshajihakikishia ubunge Bukoba Mjini

    Nadhani hujui wana wabukoba tueleze kwanini asishinde na kipara ashinde, UKAWA wanazo kata 11 kati ya 14 tiyari kabla ya uchaguzi.Kahororo,bilele,rwamishenye,ijuganyondo,migera,kashai,kibeta,kitendagulo,kagondo,buhembe,miembeni
Back
Top Bottom