Wakuu, Amani kwenu!
Mi ni mdau ambaye muda mwingi nipo kimya tokana na kazi yangu. Siishii kulalamika, nachukua hatua kwa kukutana na ambao ningewalalamikia na kuyasema ya moyoni.
Nakumbuka nilikutana na Mbowe 2004 & 2009, Lipumba 2005 na 2010 mwanzoni (kabla ya Uchaguzi), Mbatia 2009 (Waridi...
Heshima mbele wakuu,
Bahati mbaya sijui thread yangu inafaa kukaa forum gani.
Nina kakibanda kangu ambako ni kakubwa kiasi chake jijini Dar.
Nahitaji fundi mzuri wa Grilles ambaye yupo neat na akiwa na workshop yake sio mbangaizaji. Kazi ni kubwa; nataka awe dedicated kwenye kazi yake kwakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.