Recent content by TANMOJA

  1. TANMOJA

    JamiiForums Tanzania Ndaisaba: Itungwe sheria ya kuzuia watu kunywa pombe muda wa kazi

    Ndo maana masaburi alisema wanatumia ma***ko kufikiria...
  2. TANMOJA

    JamiiForums Tanzania Mnaojenga nyumba, kuweni makini na watu mnaowaomba wawalindie nyumba zenu

    Jiandae na kesi ...maana wakati wa kumtoa haitakua rahisi. Wengi wanakuja na wake zao. Pia, watoto wao wanawaamishoa shule jirani
  3. TANMOJA

    JamiiForums Tanzania Upinzani mmezimishwa sio kama hamtaki kusema

    Acha kubwata hovyo . upinzani kwasasa sio ajenda nenda kavae barakoa na ufuate masharti mengine ya WHO.
  4. TANMOJA

    JamiiForums Tanzania Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

    Nani kakuambia magari hayo hayalipi kodi?. Braza tuliza wenge
  5. TANMOJA

    JamiiForums Tanzania Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

    Umelaliwa!
  6. TANMOJA

    JamiiForums Tanzania Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

    Yani umejibu kisomi sana...!
  7. TANMOJA

    JamiiForums Tanzania 2021 tumefika wapi kwenye lengo la kutengeneza mabilionea 1,000 ambao Rais anataka wapatikane?

    Hongera sana kwa Uzi ulioshiba. ..hivi ndo vitu inabidi viwe vinaletwa humu sio habari za kujadili matukio. Kwa nchi zetu( waafrika) tuna safari ndefu sana maana hatuwezi fanikiwa kwa kukutegemea mipango ya miaka mitano mitano...hatuna mikakati ya miaka mirefu ambayo inasimamiwa kisheria sasa...
  8. TANMOJA

    JamiiForums Tanzania RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

    Hawa adhabu waliopewa ndogo sana ...wangefungiwa angalau kuanzia miaka miwili wapate muda wa kwenda kusoma kwenye vyuo vya habari
  9. TANMOJA

    JamiiForums Tanzania TCRA, nawaombea msamaha Wasafi TV

    Tatizo sio bakwata in wabunge wanaopitisha sheria hizi.....tulia kwanza dawa iingie
  10. TANMOJA

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji, Juma Aweso amtumbua kazi Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma

    Nadhani waziri atakua anasababu za kutosha kumuweka pembeni huyo mkurugenzi...ila Kwenye sekta hii ya maji kuna elimu kubwa sana inabidi wananchi na mashirika ya umma wapewe. Wanajua umuhimu wa maji Ila hawajui wajibu wao wa kulipa ankara za maji ambayo inapelekea mamlaka nyingi kushindwa...
Back
Top Bottom