Recent content by Tankthinker

  1. Tankthinker

    Polisi Mwanza yawasaka Sheikh Ilunga, Askofu Mpemba kwa uchochezi

    Tatizo la serikali yetu pamoja na vombo vyake vya dola inaendekeza siasa za kijinga sana hata katika maswala yanayohitaji umakini katika kuyatatua. Haya maswala ya kuchinja yako wazi kabisa, serikali iache kukwepa majukumu yake. Ifanye maamuzi kwa kufuata sheria za nchi na si kuwaomba viongozi...
  2. Tankthinker

    Sehemu ya II: Mahojiano ya Ridhiwani Kikwete na gazeti la Jamhuri

    Mimi binafsi nakupongeza kwa kukubali kuhojiwa na kwa kujibu maswali, nafikiri huo ni uamuzi wa busara sana. Maana kwa namna moja au nyingine inajibu maswali mengi walionayo jamii ya Kitanzania kwa ujumla wake juu yako. Ni wazi kuwa nafasi yako kama mtoto wa rais aliyeko madarakani huwezi...
  3. Tankthinker

    Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    Mkuu nyuzi yako imejawa na hila zaidi. Kwani kuna mbunge gani ndani ya CCM ambaye hana hatia ya hayo uliyo mnenea Mh. Magufuri ?. Mimi nahisi umetumwa kumchafua ili kumsafishia njia aliyekutuma. Hizi ni mbinu za wagombea urais 2015 ndani ya chama tawala. Mimi siko hapa kumpigia debe Mh. Magufuri...
  4. Tankthinker

    Kamanda wa vijana wa CHADEMA akamatwa kwa ujambazi.

    Watu wamesha kushtukia kuwa una penda sana attention.
  5. Tankthinker

    SAKATA LA UCHINJAJI WA NYAMA; Wafanyabiashara wa nyama mjini Tunduma wahofia usalama

    Hili swala limeanza kama mchezo vile, lakini kama busara haitatumika linaweza kutufikisha mahali pabaya sana. Nimefuatilia na kusikiliza cd ya yule Askofu wa Mwanza anayetuhumiwa kwa kuchochea ugomvi kati ya Wakristo na Waislam, kwa kweli kabisa katika cd hiyo sikuona uchochezi wowote labda kama...
  6. Tankthinker

    Kila Mtanzania mwenye uchungu na elimu yetu aandamane Machi 25, 2013

    Zion Daughter, njia pekee ya kumuondoa mkoloni anayekalia elimu yetu ni haya maandamano. Mimi sio mwanachama wa CDM lakini naunga mkono juhudi na harakati hizi. Viongozi wa nchi wangeheshimu tu kilio chetu watanzania juu ya anguko la elimu na kuwawajibisha viongozi husika. Kusingekuwa na sababu...
  7. Tankthinker

    CHADEMA, Jipangeni na mpango huu wa serikali na vyombo vyake

    Epuka kujidharirisha, ukisikia jambo, au ukisoma jambo kama hukuelewa vizuri ni heri uulize ufafanuliwe. Ukikurupuka kwa ku-criticize jambo au maelezo amayo hujayaelewa unatufanya tujue kuwa wewe ni miongoni mwa wenye akili ndogo sana na humu jamvini usingpaswa kuwemo. Hivi hujui kuwa watu...
  8. Tankthinker

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Hugochavez acha ujinga hii video imetengenezwa, mbona hiyo mbinu inajulikana kabisa jielimishe kupitia link hii htt://www.youtube.com/bad lip reading
  9. Tankthinker

    Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

    Bwana Toxic9 nakushauri uukatae ujinga kwa kujielimisha na link hii ( video za kutengeneza ) htt://www.youtube.com/bad lip reading
  10. Tankthinker

    Kamanda Kova: Tuhuma dhidi ya Lwakatare hazihusishi Chama

    Wewe Atongwele acha ushabiki wa siasa, hiyo video imetengenezwa na Lwakatare kalishwa maneno. Jielimishe kupitia link hii htt://www.youtube.com/bad lip reading
  11. Tankthinker

    MWANAFUNZI HAFAULU KWA MAANDAMANO, dawa ni kubadili mfumo wa elimu nchini sio kila jambo maandamano

    Mkuu umekurupuka kuandika hii thred. Jielimishe kwanza juu chimbuko zima la tatizo la Elimu hapa Tanzania ndiyo utoe maoni yako. Epuka kujiaibisha, heri ungekaa kimya watu wangefikiri kuwa unahekima.
  12. Tankthinker

    Machafuko na migogoro ya Kidini na Mengineyo: Serikali Ilaumiwe

    Mkuu kwanza kabisa naunga mkono yote uliyosema. Na maoni yangu ni kuwa serikali haiwezi kuepuka lawama za machafuko na migogoro hii ya udini.
  13. Tankthinker

    Machafuko na migogoro ya Kidini na Mengineyo: Serikali Ilaumiwe

    We Jichola3, mbona unajidhalilisha hivyo. Elly B kaleta nyuzi ambayo ina mantiki kabisa tena kwa faida ya taifa letu na watu wake bila hata kupendelea dini yeyote. Wewe umeonyesha ushabiki wa kijinga kabisa na usio hata na faida yeyote ile. Mwishoni mwa maelezo yako umeonyesha ufinyu wa uwelewa...
  14. Tankthinker

    Kwa Neema FM hawaepuki Dhambi hii ya Buseresere, TRCA Nanyi Amkeni sasa!

    Ghost Ryder, umefanya haraka sana kuihukumu Kwa Neema FM. Na hivyo umeonyesha upendeleo mkubwa katika hukumu yako juu ya hiyo Redio ya Kwa neema Fm. kwa taarifa yako vipindi vyote vya Redio vinavyo rushwa moja kwa moja yaani (LIVE) au vilivyo rekodiwa kwanza yaani (Prerecorded) ni lazima pia...
  15. Tankthinker

    Mtaalamu wa uchumi (CCM) apigia chapuo sera ya CHADEMA ya serikali ndogo

    Wewe naona umetanguliza zaidi ushabiki wa kichama bila kutumia akili!!. HATA KAMA wangekuwa hawana mikakati, hufikiri kuwa ikiwa ufisadi tu pekee ukudhibitiwa kisawa sawa watanzania japo wataiona tofauti. Nakama unawasiwasi na Chadema tuambie uliye na ujasli naye ni nani, au ni chama gani...
Back
Top Bottom