Recent content by Tanki

 1. Tanki

  Wapi nitapata Dinamo ya kutoa 12Volt kwa hapa Dar ( Msaada tutani )

  Wakuu, husikeni na kichwa Cha hii thread. Mkinipa Bei zake ntashukuru zaida
 2. Tanki

  Mafundi umeme wa magari someni hapa jamani

  Mkuu, Altonator ni nzima. Imejaribiwa kabisa kule nilipoinunua. Ilifungwa Kwenye betri arafu Kuna taa ikafungwa ikawa inawaka. Jamaa akaizungusha Altonator kwa mkono Ile taa ikawa inazima. Ikiwa hivyo wenyewe wanasema Altonator ni nzima
 3. Tanki

  Mafundi umeme wa magari someni hapa jamani

  Nina Altonator ya gari. Kwenye hii Altonator Kuna haya maandishi. NISANI 23100 70N 12 V. Sasa, Nikaichukua Altonator Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye bolt na Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye body ya Altonator. Kisha ule waya wa bolt nikafunga Kwenye terminal ya chanya ya betri. Then ule wa...
 4. Tanki

  Ndugu zangu naombeni msaada kuhusiana na skrill

  wakuu msaada wenu bado nauhitaji
 5. Tanki

  Ndugu zangu naombeni msaada kuhusiana na skrill

  Mkuu, hata kumtumia mtu mwingine wa skrill nayo inagoma inaniambia eti sina hela wakati balance inaonyesha USD 10.50
 6. Tanki

  Ndugu zangu naombeni msaada kuhusiana na skrill

  Juzi juzi tu hapa nilifungua account. Baada tu ya kuifungua nikadeposit pesa USD 10 na cent 50. Ni kama elfu 24 hivi. Hiyo hela niliideposit kutoka kwenye mastar card ya M-PESA. Hela ikaingia na nikaiona kabisa balance USD 10.50 Nia yangu nilikuwa nataka deposit tena kutoka skrill kwenda kwa...
 7. Tanki

  MSAADA, Ñahitaji power invetor

  Ndio mkuu
 8. Tanki

  MSAADA, Ñahitaji power invetor

  Wakuu habari zeunu. Kijana wenu nahitaji invetor NDOGO kabisa maana nataka kutumia kwa ajili ya laptop tu. Ubavu wangu ni Elfu 30 cash niko nayo hapa. Naweza kuja kuifuata popote kwa hapa Dar. Mawasiliano 0769616581
 9. Tanki

  Msaada wakuu hii simu ina mapepo au?

  Wakuu habari za muda huu. ninan shida hapa kwenye hiisimu yangu ambayo ni tecno W3. Hii simu sasa hivi nikiiweka tu betri inajiwasha yenyewe kabla hata sijaiwasha. Na ikijiwasha inaandika tu neno tecno arafu inaganda hivyo hivyo baada sekunde kama kumi hivi inajizima na kujiwasha tena...
 10. Tanki

  Msaada jamani: Euro truck simulator 2 inanigomea

  Duuh mkuu umeniacha. Ungeniambia naingia wapi na wapi ndo ningeelewa
 11. Tanki

  Mockups for graphic designers

  mkuu, tupia link ya kuidownload hii app Sent using Jamii Forums mobile app
 12. Tanki

  Msaada wa kudownload game

  hivi hii puno inarun kwenye ETS 2 version gani?? Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Tanki

  Msaada jamani: Euro truck simulator 2 inanigomea

  Wakuu, msaada kwenye tuta. Hapo mwanzo hii game Euro truck simulator 2 nilikuwa naicheza vizuri kabisa kwenye hii laptop yangu ya Lenovo T420 Core i5. Nimeicheza kwa miezi kadhaa hadi now. Sasa juzi nilikuwa napunguza punguza vitu ili kupata space. Baada ya hapo ndo shida nadhani ikaanza...
Top Bottom