CCM kuna wazee wa hekima na wataalam wa sheria kama mheshimiwa msekwa, mheshimia warioba, mheshimiwa philipo mangula yupo jaji Lubuva, yupo jaji chande, ukiwaweka cardinali Lugambwa na muft shehe mkuu wa bakwata tanzania mlete john heche na william nchimbi. hawa wote wakikaa pamoja na kujadili...