Recent content by tanganyika2015

  1. T

    Usafirishaji wa Mizigo na Vifurushi (Mikoa Yote Tanzania Bara Na Visiwani)

    Unaweza kutuma ujumbe kwenye WhatsApp: 0766063158 tafadhali?
  2. T

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Uko wapi mkuu? Na kuku unauza mmoja shilingi ngapi na ana kilo ngapi?
  3. T

    Natafuta supplier wa mafuta ya nazi

    Mkuu bado unahitaji mafuta. Unanunua Lita kwa shilingi ngapi? Unaweza kuwa na soko la avocado oil pia? Asante.
  4. T

    Training on Packaging Technologoes: Michigan State University, TAHA and ZANA

    Wadau mnakaribishwa kwenye haya mafunzo muhimu kwa ajili ya kuongeza thamani kwenye bidhaa zinazozalishwa nchini ili kuendana na ushindani wa masoko ya ndani na ya kimataifa. Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa: hello@zana.co. Karibuni sana.
  5. T

    The Guardian: Bombardier zilinunuliwa bila kuwa na business plan

    Bashite wewe. REVENUE si faida. FAIDA = Total Revenue - Total Costs.
  6. T

    Silinde Ernest David: Ushindi wa Lissu na tafsiri ya utawala bora

    Wewe mbeba maboksi kwanini usirudi kwenu Unaishi kwa tabu huko wakati unaweza kupata kura zaidi ya 1400 ukaishi real life kuliko fake life ya huko uliko? Jamaa unashindia mikate na miguu na vipapatio vya Kuku ndio wajiona mjanja? You are a failure bro!!
  7. T

    Silinde Ernest David: Ushindi wa Lissu na tafsiri ya utawala bora

    Hujakosea kujiita NYANI, A. K. A ape; an ape is still evolutionary process. By the time the evolutionary time turns you into a human being, your behavior will correspond with that of human beings (you will stop to think and act as an ape). Only the beings can see the impact of sixteen hundred...
  8. T

    Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Umeshaminywa sehemu nyeti. Wewe Sikilizia tu maumivu --- si mlisema hachaguliwi? Mfa Maji mkubwa wewe!!! me
  9. T

    Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Nilichosikia ni sauti kubwa ya: PUUUUUUUF --- ikiashiria lile JIPU KUBWA limetumbuliwa. Sasa na kazi "IKAWE KAMA ILIVYONENWA"! Amen!
  10. T

    Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Mkuu unaacha kumhurumia aliyekuzaa "MZIGO, JIPU" kama muitanavyo chamani unamhurumia shujaa Lisu? Vihoja haviwezi kuisha duniani kamwe!!
  11. T

    Kamishina wa TRA: Watanzania millioni 3 pekee kati ya millioni 45 ndo walipa kodi

    Huyu PAMOJA na team yake hawana jipya. Katika moja ya mikakati Yao ni kuwafanya wananchi walipe kodi voluntarily kwa kutoa elimu Kwa mlipakodi. Kinachoshangaza sasa ni kwamba wamekuwa Kama wanyang'anyi; hawatumii rational criteria kujadiliana watu kodi; Bali wanatumia wivu, chuki na Sifa...
  12. T

    Mh. Rais, naomba Prof. Prosper Ngowi mteue awe Mshauri wako wa Uchumi

    Jamaa ni mzuri sana ---- Amewahi kunifundisha ---- lakini si zamu ya Kabila lake safari Hii!
  13. T

    Nikisikia jina Magufuli napata huzuni, moyoni najisikia hasira

    Kwani Mtumishi wa umma na familia yake wanaishi humo kwenye ofisi au wanaishi mtaani? Tumia akili Walau kidogo!!! Chama chenu hakijui Hata inflation inasababishwa na nini na madhara yake kiuchumi? Pathetic!!!!
  14. T

    Kalimba, Kada wa CCM afunguka. Aeleza wazi kutoridhishwa na mwenendo wa mwenyekiti wake!

    Uliibiwa na nani wewe jamaa? Mtu akimkamata mwizi huwa anampeleka wapi? Si chama chenu kimekuwa kikiongoza nchi tangu Uhuru; Mbona hao mnaodai wamewaibia hatujaona mkifanya jitihada zozote za kuwadhibiti? Jeshi si lenu, majaji mwateua ninyi, bajeti si mwashikilia ninyi? Sasa unalialia nini...
Back
Top Bottom