Mkoa wa pwani vipi? Songwe na mbeya? Singida na tabora? Una taarifa za kigoma pia?
https://www.jamiiforums.com/threads/pwani-cv-za-wabunge-mwaka-2020-2025-mbunge-wako-ametimiza-ahadi-zake.2286777/...
Taasisi zenyewe zipo na zinaona, kama kungekuwa na tatizo wangeweza kukanusha kuwa hakuna mwanafunzi kwa jina hilo aliyesoma chuoni ama katika taasisi yao
Wananchi ndio wenye nchi au serikali. Ni ngumu kuwa bagua katika nafasi za kiuongozi za kuchaguliwa kisa elimu zao wakati wao ndio wenye nchi yao
Ndio maana kigezo cha kujua kusoma na kuandika huwa kina tumika kama sehemu ya kuwa husisha wote katika nyanja za uongozi kuanzia mwenyekiti wa...
Umesema vizuri sana mkuu, pia bila kusahau tuna weza kujilidhisha kwa taarifa hizo.
Uzuri taarifa zipo na vyuo walivyosoma, unaweza kufika kupata taarifa sahihi za mwanafunzi husika.
Elimu ya mtu iwe ya darasa la saba au kidato cha nne ama profesa, itabaki ni elimu yake wala utata haupo
Utata utakuwepo kaka elimu aliyojaza haipo yani Hana elimu hiyo. Ndio hoja ilipo kama sitajoka nje ya mada
Sidhani kama kuna utata wa elimu ya wabunge wetu, ni vile hatuna ufahamu wa mambo kwa kina na kupenda hoja za kubomoa zaidi kuliko kujenga.
Ni kama tuna penda kukomoana, tatizo laweza kuwa kwa mtaalam wa IT/ICT lakini ikaonekana shida ni kwa Mbunge.
Kuna mbunge mmoja elimu yake amesoma mwaka 0...
Watatumiaji ni tatizo, tumeshuhudia ktk miundombinu kama viwanja vya michezo. Tumekuwa watu wa kuharibu, ustaarab ni janga kubwa na lina tutesa huku tukitafuta wakumtupia lawama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.