TLS inatoa msaada wa kisheria katika magereza na mahabusi za watoto katika mikoa 14 kuanzia leo tarehe 26 hadi 30/11/2018. Mikoa hiyo ni pamoja na Dar es salaam, Morogoro, Arusha, Mbeya, Mtwara, Shinyanga, Ruvuma, Mwanza, Kagera, Tanga, Singida, Moshi, Dodoma na Iringa.
Lengo la Chama cha...