Mzee Unatukosea, Unatunyima Raha ya Siasa Ndani ya Nchi hii. HASIRA, VISASI NA CHUKI Havijengi chair wetu.
Kuna MATUKIO najaribu Kuunganisha Dots kupata Sentensi Kamili. Na Picha Inaanza Kuja, I am sorry Dears MBOWE ANATUMIKA KUUA CHAMA.
Why
1: Chama Ni Cha Kidemokrasia Lakini hakiendeshwi...