Recent content by Tambara Bovu

  1. Tambara Bovu

    Nyumba ya kupanga inapatikana Mwenge -Survey.

    Belo unashangaa nyumba yalaki tatu kukosa parking?we vukabarabara kidogo tu toka hapo savei opposite na mliman city barabara ya samnujoma yaan sinza A na uone nyumba yalaki tatu ilivyo.ni chumba kimoja master sebule na jiko.ukiwa na gari utajijua mwenyewe. ukweli gharama ya nyumba inawaumiza...
  2. Tambara Bovu

    Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    njoo nikupatie dawa.unastyle zake huo. uume hupinda kwasababu ya chupi za kubana sasa km ni gafla kamuone dr alokufanyia tohara kujua tatizo
  3. Tambara Bovu

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    sisi sio kama chadema wengne waliotuma msg kibao eti tuwahi mahakamani na mabango nauli tutalipiwa.upuuzi mtupu.Nakuombea Zitto ushinde haki dhidi ya dhuluma
  4. Tambara Bovu

    Mambo 10 m/mke anayofikiria pindi anapokuona kwa mara ya kwanza

    no 4 ni sahihi kabisa.hata mie mwanaume asiyetumia wallet kuhifadhi hela zake huwa namdisqualify
  5. Tambara Bovu

    Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

    Ukifanikiwa kuniona ndio utapata jibu la swali lako.kwa ufupi awe na vigezo vyote alivyonavyo firstlady kwa maana vya ndani na vya nje.
  6. Tambara Bovu

    'USAFI WA NDANI' kwa kina dada...

    Nyani Ngabu mbona usafi ni mwepesi sana na unawezekana tu.tatizo wadada wengi wanajisahau.wala haihitaji mambo ya kizungu kujiweka safi,yaani kuna vitu asilia tu mfano barafu kwa kuboreshea papuchi na kuondoa harufu.Pia kuna pozi za kuzuia harufu ambazo inatakiwa mtoto wa kike azijue yaani wala...
  7. Tambara Bovu

    Utafiti:wanawake weusi wanapenda kujikoboa

    Hakuna mwanamke mbaya.uzuri unanunuliwa hadi kwenye makapu
  8. Tambara Bovu

    Mwigamba: Sitoki wala siombi radhi. Atoa ufafanuzi kuhusu Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013

    Kwani umeisoma hiyo barua yake ukajua imeandikwaje?
  9. Tambara Bovu

    Tahadhari Kubwa kwa watu wote

    Nakuelewa sana Sixgates ila pia nawaelewa zaidi hao wanaojiita Team zitto.watu wengi wameumizwa sana na wanajua mengi ambayo Zitto ameshindwa kuyasemea japo anayajua ikiwemo suala la ukanda hivyo baada ya kuona maonevu yamezidi wameamua kusimama kidete kutetea ukweli ikiwemo kuwafahamisha...
  10. Tambara Bovu

    Taarifa kwa vyombo vya habari

    Nyakarungu nakuelewa sana.mtu asiyeijua chadema ataona unaropoka lakini sasa hivi lazima ukweli ujulikane na hakika Haki na Ukweli lazima vitashinda.Yaani watu wote waliokifia chama leo ni maluki kisa tu unasema ukweli hivyo automatically huwezi kuwa kambi ya Mbowe.Mimi naamini katika nguvu ya...
  11. Tambara Bovu

    Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

    uwe na maneno yenye Adabu na ujiheshimu mtoto wa kiume
  12. Tambara Bovu

    Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

    Noted Mkuu Wewe acha kabisa kunyanyapaa jinsia ya kike kwa kuandika kuwa wanatumika. Acha kabisa wewe, maana hata wewe ni jinsia hiyo hiyo pamoja na wenzako wengine akina Simiyu Yetu na Mamndenyi.
  13. Tambara Bovu

    Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

    ndio maana nasema Ben amevurugwa na anafikiri kwa kutumia Ma------
  14. Tambara Bovu

    Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

    umeona eeh!Ben Kavurugwa tangu zamani na kavurugika zaidi ya waliomvuruga.toka nilivyomfahamu Ben nilimuona hamnazo na nikamshusha tham,ani tangu zamani.Ben sio wa kuaminika anatumika kotekote kwenye maslahi.anasiri zake nyingi tu na zitakuwa wazi mwakani nadhani.tuendelee kusubiri na ataumbuka...
Back
Top Bottom