Nyumba ya kupanga inapatikana Mwenge -Survey.

Nyumba ya kupanga inapatikana Mwenge -Survey.

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Habari. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nyumba ipo maeneo ya survey mwenge dakika mbili kwa mguu tokea mlimani city. Sifa za nyumba ni; nyumba kubwa yenye sebule kubwa na vyumba viwili. Chumba kimoja ni master, store tiles na public toilet ina sehemu ya jiko pia. Maji yapo masaa 24. Haina uzio ila gari linafika mpaka mlangoni kwako.Bei ni 300,000/- kwa mwezi na nahitaji kodi ya mwaka mzima. Hakuna dalali hapa.itakuwa wazi kuanzia tarehe 1 august 2014. Kwa anayeihitaji tafadhali Pm.
 
Nyumba ya laki tatu haina parking?
 
Mkuu sijasema hakuna parking ila nimesema haina uzio soma na uelewe.
 
mkuu naomba nitumie namba yako kwa PM tuzungumze naitaji iyo nyumba
 
Nyumba ya laki tatu haina parking?

Belo unashangaa nyumba yalaki tatu kukosa parking?we vukabarabara kidogo tu toka hapo savei opposite na mliman city barabara ya samnujoma yaan sinza A na uone nyumba yalaki tatu ilivyo.ni chumba kimoja master sebule na jiko.ukiwa na gari utajijua mwenyewe.
ukweli gharama ya nyumba inawaumiza sana watu wengi siku hizi .wakat mwingine ni bora ukapange mtongani
 
kweli mkuu wilaya ya temeke nyumba bado nafuu sana
 
Back
Top Bottom