Recent content by talibomtoto

  1. talibomtoto

    Kwa wale wataalamu wa madawa nimeenda hospitali kwa tatizo la sikio langu

    Asante sana nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuulizia hapa Njombe hospital kubwa maana ni Mgeni nipo kwa muda hapa kama wa mwezi mzima huu wa tisa
  2. talibomtoto

    Kwa wale wataalamu wa madawa nimeenda hospitali kwa tatizo la sikio langu

    Kuna sauti zinaskika wuuuuuuuuu moja kwa moja
  3. talibomtoto

    Kwa wale wataalamu wa madawa nimeenda hospitali kwa tatizo la sikio langu

    Kwa wale wataalamu wa madawa nimeenda hospitali kwa tatizo la sikio langu la kulia linalotoa sauti. Nimepewa dawa mbili: 1. Ampiluclox (hii ni ya vidonge) 2. Boric acid (ni ya maji) Msaada tafadhali dawa hizi zinafaa au la?
  4. talibomtoto

    Sikio langu moja la upande wa kulia linatoa sauti fulani zinaninyima amani

    IPO sehem gani maana nitakuja mwez kumi mwanzon huko
  5. talibomtoto

    Sikio langu moja la upande wa kulia linatoa sauti fulani zinaninyima amani

    Asante sana ngoja nifanye mpango Sent using Jamii Forums mobile app
  6. talibomtoto

    Usiombe yakukute yaliyonikuta

    [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman nimecheka hata Mimi iliwahi tokea miez 4 kila mwez nikawa naenda hospital kipindi hicho Niko ndent yaan Sent using Jamii Forums mobile app
  7. talibomtoto

    Usiombe yakukute yaliyonikuta

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom