Wale wapenzi wa kuchokonoa masikio kwa kutumia pamba stick na vijiti yaliyonikuta mimi iwe funzo kwenu

Asante kwa somo, mimi nilifundishwa tuzitoe ili kusafisha sikio. Kuna mmoja alipochungulia kwenye sikio langu akakutana na mzigo wa maana kama volcano akatema mate chini akaniambia uwe msafi. Tangia siku hiyo hadi leo natoaga nta
Zinatakiwa zitolewe kitaalam na sio kuzitoa na vijiti la sivyo ipo siku yako ya kilio
 
Habari zenu

Ni vyema tukashirikishana mambo ya muhimu kama haya ambayo watu wengi hawayachukulii kwa uzito yaani yanaonekana ni ya kawaida tu lakini unaambiwa ukitaka kujua kuwa mwili wako ni wa thamani na hauna spare ngoja siku upate madhara utajielewa

Ni hivi

Kuna siku baada ya kutoka kula sikio la kulia lilianza kuwasha gafla hivyo ikanibidi nichukue pamba stick ili nichokonoe ,kama mazoea yetu yalivyo baada ya kukosa pamba stick nikachukua karatasi ya mkeka wa betting
Then nikaiminya iwe nyembamba kisha nikaiingiza sikioni ili nichokonoe sikio langu

Baada ya kuingiza tu mda uleule sikio likablock moja kwa moja huku usikivu ukiwa kwa mbalii sana yaani sikio moja ndio likawa linafanya kazi, nikiongea na mtu lazima nimgeuzie sikio la kushoto ndio tunasikilizana bila hivyo usikivu hakuna

Kwa kweli nilichanganyikiwa na nikajua ulemavu nimejitakia mwenye cz masikio ni kitu cha muhimu sana ukiyakosa unakuwa kama mtu uliyechanganyikiwa

Hivyo cha kwanza nikapitia thread za watu mbali mbali ambao walishakutana na matatizo kama haya ya masikio kuziba ,wengi walikuwa wanashauri utumiaji wa dawa mbalili mbali za kienyeji na zile za hospitalini na wengine wakieleza kuwa matibabu ya sikio garama zake ni kubwa sana hivyo ni kitu cha kuwa makini

Bahati nzuri kuna member humu jf ambaye ni doctor aliyekuwa anatoa ushauri nikamfuata pm nikihitaji ushauri wake kwani tayari tatizo lilishakuwa kubwa kwangu kwani sikio lilikuwa limeshaziba kabisa na kwa bahati mbaya huyu jf member akanieleza kuwa kwa sasa hayupo tz yupo nnje ya nchi ila akaniambia nimpatie namba zangu za simu then atanipigia kwa msaada

Kweli baada ya masaa kadhaa akanipigia na namba ya nnje then nikamuelezea tatizo jinsi lilivyotokea hadi hali nliyonayo sasa ,baada ya kunisikiliza vizuri akaniambia kwa kuwa hajanipima na kifaa maalum cha kuingiza sikioni ili kuchunguza tatizo lipo wapi hawezi kunithibitishia kuwa sikio limeblock kwa sababu zipi ila akaniambia yawezekana limeziba kwa sababu ya mambo haya matatu makuu

1.KUTOBOKA KWA NGOMA YA SIKIO

2.SIKIO KUZIBA BAADA YA KIPANDE CHA KARATASI KUBAKI NDANI

3.SIKIO KUZIBA BAADA YA KUZISUKUMA NTA ZA SIKIO(EAR WAX) NDANI ZAIDI

Hivyo akanishauri kwa msaada zaidi niende hospitali na nimuone mtaalam wa ENT anifanyie uchunguzi kuwa tatizo nilipi kati ya hayo hapo juu

Kweli nikafuata ushauri nikaenda hospitali moja kubwa hapa dar kwa ajili kufanyiwa uchunguzi na nlikuwa sina bima ya matibabu hivyo hizo garama zake zinatisha na kwakuwa nilikuwa vibaya ikanibidi nirudi tu home nipambane na hali iliyopo hivyo hivyo

Nikampm doctor wangu wa jf nikamuelezea hali halisi nliyokutana nayo kuwa nimeenda lakini nimekuta garama zake nikubwa hivyo zimenishinda nikaamua kurudi

Jamaa akaniambia kuwa nisihofu atanisaidia hivyo nimsubiri baada ya siku nne atakuwa amerejea hivyo atanielekeza hospitlini kwake kwa ajili ya matibabu, ila akaniambia tu nisiweke dawa yoyote wala maji kwenye sikio lililoziba hadi uchunguzi ufanyike

Kweli baada ya siku kama tano jf member mwenzangu akanipigia kuwa amesharudi na akanielekeza hospitali anayofanyia kazi niende kwa ajili ya uchunguzi na matibabu, baada ya kufika na kusalimiana baada ya lisaa limoja akanifanyia uchunguzi wa kina katika sikio langu la kulia

Baada ya uchunguzi kufanyika ikaonekana kumbe ni ngoma ya sikio ilidhurika baada ya kuingiza ile karatasi kwa ndani hivyo kitaalam nikaambiwa kuwa hali hiyo huisha yenyewe taratibu baada ya miezi mitatu au minne lakini ni lazima nitumie dawa maalum za antibiotic na za kuzuia fungus katika seheemu iliyodhurika ili tatizo lisije likaingia ndani zaidi hadi kwenye sikio la kati na hatimaye kuendelea hadi kwenye sikio la kushoto

So baada ya kunisaidia kunifanyia uchunguzi akaniandikia majina ya dawa ambazo natakiwa nitumie kipindi chote hicho huku nikiendelea kumpa updates za tatizo linavyoendelea siku hadi siku

Kwa kweli mungu ni mkubwa sana baada ya siku kadhaa kupita huku nikitumia zile dawa sikio lilianza kuzibuka lenyewe hadi sasa limejirudia kwenye hali yake ya kawaida kabisa

Now nipo ok kabisa lakini imechukua mda mrefu tatizo kuisha kabisa, lakini napenda kutoa shukrani kwa jf member mwenzangu kwa msaada wake kwa kweli huu ni upendo wa kweli na inadhihirisha kuwa humu sisi ni familia moja japo hatujuani lakini tunatakiwa tuishi kwa kuheshimiana cuz huwezi jua atakayekusaidia kesho ni nani

Pia napenda kutoa ushauri kwa watu wote epukeni kutumia pamba stick na njiti au vitu vilivyochongoka kutoa nta za sikio kwani kitaalam nta za sikio huwa zina umuhimu mkubwa sana ikiwemo

-kuzuia wadudu kuingia ndani ya sikio
-kuuwa vijidudu vya bacteria vinavyoingia ndani ya sikio
-kuzuia fungus kushambulia sikio

Hivyo kitaalam nta za sikio huwa zinapozidi zinatoka zenyewe nnje ya sikio na hazitakiwi kutolewa, na endapo zitazidi na kusababisha sikio kuziba mnashauriwa muende hospitali zitolewe kitaalam na sio kuzitoa kwa pamba stick kwani inaweza kuongeza madhara zaidi

Ujumbe uwafikie....
Asanteni
Asante mkuu,Mimi nilikutwa na hill tatizo lakini halikutoboa ngoma,ila cha moto nilikiona.Niliingiza pamba za vijiti kutoa taka sikioni,ikabakia kipande cha pamba ndani ya sikio ,ikawa nikitembea naona uzito upande mmoja wa mwili,nikaenda Hosp,wakaangalia Kwa vipimo vyao,wakaona pamba,walinisafisha Kwa maji ya vuguvugu baada ya hapo nikawa safi,kurudi home nililala Sikh nzima bila hats msosi,Kitu kidogo nilikosa amani na dunia.Tuwe waangalifu sana kwenye masikio na macho wajameni
 
Duuu h aisee pole sana mkuu hata mimi nilikosa amani aisee
 
Habari zenu

Ni vyema tukashirikishana mambo ya muhimu kama haya ambayo watu wengi hawayachukulii kwa uzito yaani yanaonekana ni ya kawaida tu lakini unaambiwa ukitaka kujua kuwa mwili wako ni wa thamani na hauna spare ngoja siku upate madhara utajielewa

Ni hivi

Kuna siku baada ya kutoka kula sikio la kulia lilianza kuwasha gafla hivyo ikanibidi nichukue pamba stick ili nichokonoe ,kama mazoea yetu yalivyo baada ya kukosa pamba stick nikachukua karatasi ya mkeka wa betting
Then nikaiminya iwe nyembamba kisha nikaiingiza sikioni ili nichokonoe sikio langu

Baada ya kuingiza tu mda uleule sikio likablock moja kwa moja huku usikivu ukiwa kwa mbalii sana yaani sikio moja ndio likawa linafanya kazi, nikiongea na mtu lazima nimgeuzie sikio la kushoto ndio tunasikilizana bila hivyo usikivu hakuna

Kwa kweli nilichanganyikiwa na nikajua ulemavu nimejitakia mwenye cz masikio ni kitu cha muhimu sana ukiyakosa unakuwa kama mtu uliyechanganyikiwa

Hivyo cha kwanza nikapitia thread za watu mbali mbali ambao walishakutana na matatizo kama haya ya masikio kuziba ,wengi walikuwa wanashauri utumiaji wa dawa mbalili mbali za kienyeji na zile za hospitalini na wengine wakieleza kuwa matibabu ya sikio garama zake ni kubwa sana hivyo ni kitu cha kuwa makini

Bahati nzuri kuna member humu jf ambaye ni doctor aliyekuwa anatoa ushauri nikamfuata pm nikihitaji ushauri wake kwani tayari tatizo lilishakuwa kubwa kwangu kwani sikio lilikuwa limeshaziba kabisa na kwa bahati mbaya huyu jf member akanieleza kuwa kwa sasa hayupo tz yupo nnje ya nchi ila akaniambia nimpatie namba zangu za simu then atanipigia kwa msaada

Kweli baada ya masaa kadhaa akanipigia na namba ya nnje then nikamuelezea tatizo jinsi lilivyotokea hadi hali nliyonayo sasa ,baada ya kunisikiliza vizuri akaniambia kwa kuwa hajanipima na kifaa maalum cha kuingiza sikioni ili kuchunguza tatizo lipo wapi hawezi kunithibitishia kuwa sikio limeblock kwa sababu zipi ila akaniambia yawezekana limeziba kwa sababu ya mambo haya matatu makuu

1.KUTOBOKA KWA NGOMA YA SIKIO

2.SIKIO KUZIBA BAADA YA KIPANDE CHA KARATASI KUBAKI NDANI

3.SIKIO KUZIBA BAADA YA KUZISUKUMA NTA ZA SIKIO(EAR WAX) NDANI ZAIDI

Hivyo akanishauri kwa msaada zaidi niende hospitali na nimuone mtaalam wa ENT anifanyie uchunguzi kuwa tatizo nilipi kati ya hayo hapo juu

Kweli nikafuata ushauri nikaenda hospitali moja kubwa hapa dar kwa ajili kufanyiwa uchunguzi na nlikuwa sina bima ya matibabu hivyo hizo garama zake zinatisha na kwakuwa nilikuwa vibaya ikanibidi nirudi tu home nipambane na hali iliyopo hivyo hivyo

Nikampm doctor wangu wa jf nikamuelezea hali halisi nliyokutana nayo kuwa nimeenda lakini nimekuta garama zake nikubwa hivyo zimenishinda nikaamua kurudi

Jamaa akaniambia kuwa nisihofu atanisaidia hivyo nimsubiri baada ya siku nne atakuwa amerejea hivyo atanielekeza hospitlini kwake kwa ajili ya matibabu, ila akaniambia tu nisiweke dawa yoyote wala maji kwenye sikio lililoziba hadi uchunguzi ufanyike

Kweli baada ya siku kama tano jf member mwenzangu akanipigia kuwa amesharudi na akanielekeza hospitali anayofanyia kazi niende kwa ajili ya uchunguzi na matibabu, baada ya kufika na kusalimiana baada ya lisaa limoja akanifanyia uchunguzi wa kina katika sikio langu la kulia

Baada ya uchunguzi kufanyika ikaonekana kumbe ni ngoma ya sikio ilidhurika baada ya kuingiza ile karatasi kwa ndani hivyo kitaalam nikaambiwa kuwa hali hiyo huisha yenyewe taratibu baada ya miezi mitatu au minne lakini ni lazima nitumie dawa maalum za antibiotic na za kuzuia fungus katika seheemu iliyodhurika ili tatizo lisije likaingia ndani zaidi hadi kwenye sikio la kati na hatimaye kuendelea hadi kwenye sikio la kushoto

So baada ya kunisaidia kunifanyia uchunguzi akaniandikia majina ya dawa ambazo natakiwa nitumie kipindi chote hicho huku nikiendelea kumpa updates za tatizo linavyoendelea siku hadi siku

Kwa kweli mungu ni mkubwa sana baada ya siku kadhaa kupita huku nikitumia zile dawa sikio lilianza kuzibuka lenyewe hadi sasa limejirudia kwenye hali yake ya kawaida kabisa

Now nipo ok kabisa lakini imechukua mda mrefu tatizo kuisha kabisa, lakini napenda kutoa shukrani kwa jf member mwenzangu kwa msaada wake kwa kweli huu ni upendo wa kweli na inadhihirisha kuwa humu sisi ni familia moja japo hatujuani lakini tunatakiwa tuishi kwa kuheshimiana cuz huwezi jua atakayekusaidia kesho ni nani

Pia napenda kutoa ushauri kwa watu wote epukeni kutumia pamba stick na njiti au vitu vilivyochongoka kutoa nta za sikio kwani kitaalam nta za sikio huwa zina umuhimu mkubwa sana ikiwemo

-kuzuia wadudu kuingia ndani ya sikio
-kuuwa vijidudu vya bacteria vinavyoingia ndani ya sikio
-kuzuia fungus kushambulia sikio

Hivyo kitaalam nta za sikio huwa zinapozidi zinatoka zenyewe nnje ya sikio na hazitakiwi kutolewa, na endapo zitazidi na kusababisha sikio kuziba mnashauriwa muende hospitali zitolewe kitaalam na sio kuzitoa kwa pamba stick kwani inaweza kuongeza madhara zaidi

Ujumbe uwafikie....
Asanteni
Naomba majina ya dawa plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni UONGO mtupu
huwezi kuitoboa ngoma kwa karatasi ya kubet au cotton bud (stick)
hebu tunga tena hilo TANGAZO
 
Asante snaa hili tatizo limenikuta Sasa iv ndomana imenibidi nipiti uzi wa kuhusu masikio ,nami sikilio limewasha nkcahukua pamba stick yni kma wew ,so kwa huu ushauri ntazingatia
 
Back
Top Bottom