Kwa wale wataalamu wa madawa nimeenda hospitali kwa tatizo la sikio langu

talibomtoto

Member
Nov 15, 2017
43
95
Kwa wale wataalamu wa madawa nimeenda hospitali kwa tatizo la sikio langu la kulia linalotoa sauti.

Nimepewa dawa mbili:
1. Ampiluclox (hii ni ya vidonge)
2. Boric acid (ni ya maji)

Msaada tafadhali dawa hizi zinafaa au la?
 
dendizzo

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
795
1,000
Tumia dawa ukiona hamna mabadiliko rudi kwa Dokta au badilisha hospital. Btw, ulienda hospital gani?
 
dendizzo

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
795
1,000
Kituo cha afya njombe mjini mkalaba na stend
Okay, nimekuuliza hivyo kwa sababu nimewahi kupata tatizo kama hilo nikaenda Temeke hospital nikaishia kupewa dawa za kuweka matone kwenye sikio. Hazikusaidia chochote so nikaamua kwenda hospital nyingine private ambayo inadili sana na masikio, pua na koo. Hapo nilisafishwa na kuwekewa dawa ya kupaka tatizo likaisha.

Ushauri.

Jaribu kwenda hospital yeyote kubwa yenye specialist wa masikio.
 
Asante sana nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuulizia hapa Njombe hospital kubwa maana ni Mgeni nipo kwa muda hapa kama wa mwezi mzima huu wa tisa
 
Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
9,441
2,000
Inaonekana una infection kwenye sikio ndiyo maana umepewa Ampiclox na infection yenyewe itakuwa imesababishwa na Bacteria ndo maana umepewa Antibacterial

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
13,331
2,000
Mkuu hauko serious ungemuuliza Dr juu ya hizo dawa au tumia bwana google
 
evart

JF-Expert Member
Sep 4, 2016
2,862
2,000
Okay, nimekuuliza hivyo kwa sababu nimewahi kupata tatizo kama hilo nikaenda Temeke hospital nikaishia kupewa dawa za kuweka matone kwenye sikio. Hazikusaidia chochote so nikaamua kwenda hospital nyingine private ambayo inadili sana na masikio, pua na koo. Hapo nilisafishwa na kuwekewa dawa ya kupaka tatizo likaisha.

Ushauri.

Jaribu kwenda hospital yeyote kubwa yenye specialist wa masikio.

Hospitali gani ulienda?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom