Kwanza nianze kwa kuwatakia sikukuu njema ndugu zetu wa islam,
mafanikio ni ndoto ya kila mtu aliye duniani,japo mafanikio yamekuwa ni magumu kwa wengi kulingana na tamaduni,mazoea,sera za nchi,pamoja na mambo mengine mengi tu,wapo walio fanikiwa duniani kwa bahati unaweza kusema ni bahati...