Recent content by takangumu

  1. T

    Hivi wanaume wenye watoto, hasa wa kike mnaweza fanya hili.?

    Huyu binti ataelewa hili baada ya miaka kadhaa mbele kama tuliokuwa tunafundishwa kazi na kajitigemea kuchapwa kubanwa faida tumeziona baadae. KWETU KUKAA NYUMBANI MWISHO NI SIKU UNAMALIZA SHULE HAIJALISHI NI WA KIKE AU WA KIUME BABA ALITUTAWANYA TUKATAFUTE MAISHA LEO TUNAMPENDA NA KUMUELEWA...
  2. T

    Vodacom Tanzania yadaiwa kutowalipa mawakala wake wa huduma ya kifedha(M-Pesa) kamisheni zao

    Hivi hakuna namna mawakala wakawa na umoja kidai haki yao sbb mtaji ni wako angalau basi kwenye kila kato upate asilimia 35 au arobaini na hawa wanaoitwa wakala mkuu waondolewe kama mashirika yalivyowaondoa wenye nyumba wasioishi la sivyo bora kufanya kazi nyingine yaani 5000 mtu anakatwa ww...
  3. T

    Call ya house girl kwa mume wangu

    Tatizo wanawake hii issue wanaichukulia tofauti nyumbani tunapokosa dada wa kazi hali huwa ngumu sana hata unyumba huwa unasumbua sbb wife akitoka kazini jumlisha kazi za nyumbani anakuwa hoi. Lingine kuna lile la ubahili wakina mama wakishamlipa dada hela yake wanabana sana hakuna tip wala nn...
  4. T

    Je umewahi kumtoroka mwanamke/mpenzi wako kwenye nyumba za kulala wageni?

    Hujuagi visa vya vyangudoa ww wanakujazia mtaa na wanakuwaga na viwembe iyo kelele yake eti hunaa hutakaa uanini
  5. T

    Mnaojiona Kua mmeshafanikiwa acheni dharau tulikua wote Enzi hizo

    Kuna siku nipo ofisini jamaa ananipigia simu namuelekeza nikajua salam tu kufika yupo na begi anetoka mkoa kaja nimtafutie kibarua ikabidi tuende home kufika sasa ni story za utotoni tu shuleni nk alipobaki home mm nikienda kazini anageuka kuwa baba ni amri kama nn wiki haikuisha nikamjia na...
  6. T

    Ulipopata mtoto wako wa kwanza ulijisikiaje..

    Kuna mtu alipata mtoto akaacha ubunge akalala hospital sijui alikuwa dokta au nesii?
  7. T

    WANAUME KATIKA SAIKOLOGIA YA NGONO.

    Na hayo huwezi kuyajua wala kuyaelewa mpaka uwe mwanaume nashangaa sana like swali HUYU KWA MKE WAKE AMEKOSA NINI?
  8. T

    Doggy style imeharibu vijana wengi

    Hao dog wenye style yao wenyewe tuliyoiiba hawakoseii
  9. T

    Zitto Kabwe: Tamko la jana la Serikali ya Tanzania na Barrick Gold lililenga kupoza bei ya Dola, lakini soko limegoma...

    Ungejua hakuna mgeni anakuja kutembea au kuekeza bila taarifa kamili za nchi anayokwenda au unazani wageni ni kama abiria wa daladala ubungo unawapigia debe waingie kwenye daladala hata kama halina mafuta
  10. T

    Hivi ni kwanini Wanaume wengi waliokwishaoa, wakija kufanikiwa baadae kimaisha hutamani kuoa/kupata Mke/Mwenza mpya?

    Ukiona MWANAUME ana MWANAMKE mmoja kuna mawili Hana PESA au ana matatizo ya kiafya(kibamia,haisimami kabisa na kadhalika) Nadhani umepata jibu
  11. T

    Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

    Unajua iyo miamala anayofanya hela inatoka wapi na kwenda wapi? Unajua kwa uzuri wake kuna mtu jashamwamini kumpa milioni mbili tatu ww hata iyo simu ya pesa hujawai kumpa aingize namba Kuna jamaa mmoja aliniambia alifikiria ukinunua gari zuri kuanzia milioni 70 unapewa na demu mzuri wa kukaa...
  12. T

    Kama umeoa, ukiwa unarudi nyumbani toa taarifa. Leo nusu nife

    Ungechukua simu ya jamaa upige namba ya mama mkwe kama anayo kama hana jaribu ya baba mkwe kama hana jua umeliwa
Back
Top Bottom