Recent content by Takalani Sesame

  1. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania Tunawachekea Wachina huku wakitubamiza!

    Kweli wakuu, wachina sio kabisa. Na tukija kushtuka ishakula kwetu.
  2. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania Tribute To Uncle J. Nyaisanga: Jee Unamkumbuka kwa Lipi?!. Kuagwa Leo Leaders Club!

    Na hili pia liwe fundisho kwa wengine hapa tuwe na tabia za kusifia watu kwa mazuri yao (au kuonya kwa mabaya yao) kabla hawajaaga dunia. Unaonaje Pascal Mayalla?
  3. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Pascal unaweza kujua kama Angalieni Mpendu tunae? Na kuna kile kipindi cha 'Hisia na Muziki' kilikuwa poa sana
  4. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania M23 waua Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) - UN Yalaani!

    Comparatively, Congo DRC ni mshirika muhimu kiuchumi kuliko Rwanda. Hivyo Congo DRC tulivu ni muhimu kwa maslahi ya Tanzania kiuchumi na kijamii. Kwa Rwanda ni kinyume chake. Congo DRC yenye machafuko ni muafaka kwa Rwanda kufanya looting.
  5. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania Kwa jibu hili,waziri mkuu sijamwelewa.!

    You are expecting too much from this PM. You are bound to be disappointed.
  6. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI zaidi wa Green Guard ya CCM, mahusiano na vyombo vya dola, serikali ndiyo walezi

    Ukweli una tabia ya kukawia kufika unakokwenda lakini lazima ufike tu..Nimemkumbuka ndugu yangu Mohamed Mtoi Shame on CCM, shame on Jeshi la Polisi, shame on John Tendwa
  7. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Hapo kwenye red mkuu, wazo mujarabu kabisa. AWATAJE apunguziwe adhabu
  8. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Mtaishia kuwanyonga punda wa madawa tu, wenye mzigo watakuwa wametulia tuli.
  9. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania Inasemekana kundi la Sitta litaunganisha nguvu na CHADEMA kama CCM itamsimamisha Lowassa

    Say NO to mnafiki Sitta. Kama anataka kuing'oa CCM ajitoe mapema na sio asubiri yeye au kundi lake kutoswa ndo ajifanye kuikataa CCM. CCM haikubaliki toka kitambo, hivyo afanye maamuzi mapema kwa kuchagua upande.
  10. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania Mateo Qaresi: "Marais wamekuwa na viburi, hawashauriki, washtakiwe...CCM waache ushabiki"

    Je alichosema Mateo Quares sio cha kweli? Maana badala ya kujadili hoja kuna watu wanaishia kujadili mtu
  11. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania Kambi za CCM halali, za CHADEMA haramu?

    Kambi za green guard CCM zivunjwe, Tendwa ajiuzulu (au afukuzwe kazi) na jeshi la polisi lijirudi.
  12. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Simu: Serikali lazima isikilize kilio cha wananchi

    Kwa nini wabunge wenu waliipitisha?! :mad: :mad: :mad: :mad: Acheni kujitafutia umaarufu wa kipumbavu hapa. Nina hasira na nyinyi sana
  13. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    Kwa kuwa hili ni la waalimu, sina wasiwasi nao. Watanywea tu 2015
  14. Takalani Sesame

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha engine na gearbox ya Mitsubishi RVR

    Mkuu mambo yote ni Ilala na Shaurimoyo. Ila kabla hujaenda consult fundi wako uende nae kabisa. Usiingie pale kichwa kichwa with no idea at all.
Back
Top Bottom