Vijana wa millennia mkuje hapa..kuna ujumbe wenu..for sure ni aibu 35+ kupanda madaladala, waachieni hao gen z..nunueni hata baiskeli basi kama mmeshindwa magari.
Hello..
Njia nzuri ni wewe fungua biashara na mwajiri mke wako katika hiyo biashara!!asiwe na maamuzi ya mwisho kiuhalisia ila kinadharia mfanye ajione yeye ndio mmiliki.
Ukiweza ilo utafanikiwa.. wanawake ni viumbe wazuri sana kiutendaji chini ya mwanaume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.