Recent content by taikuny

  1. taikuny

    JamiiForums Tanzania Formula gani nzuri kwa ajili ya kuku wa nyama?

    Nainoga zaidi mchanganyiko kuanza week ya pili taratibu week4 wanakua tayari washakizoea na mwili ushakikubalia chakula kikubwa utaratibu wa urishaji na upatie virutubisho sio ujaze mipumba utauwa kuku kwenye mchanganyiko wako kitu cha kwanza pumba usiweke kabisa...
  2. taikuny

    JamiiForums Tanzania Formula gani nzuri kwa ajili ya kuku wa nyama?

    Kuchanga inawezekana na broile wanatoka safi week 4. Isipokua ufuate kanuni ya uchanganyaji na ulishaji icho chakula chako na ucheze na hesabu zako vizuri ayo mambo ukiweka sawa faida utapata
  3. taikuny

    JamiiForums Tanzania Ufugaji na kilimo ni mapacha

    Mbegu bora
  4. taikuny

    JamiiForums Tanzania Mbolea asilia au mboji (compost)

    Sasa naandaa ya kutosho nifanye jambo maana natumi umwagiriaji. Malengo yangu tutotumia chemical nataka oganic tu
  5. taikuny

    JamiiForums Tanzania Mbolea asilia au mboji (compost)

    [emoji106] safi mkuu nashukuru. Apo niliagiza vijana wajaze manyasi kama miez 2 nyuma lakin nishaondoa chupa zote na nailon jaribio lakwanza nilifanya na kutumia ilikua poa sana
  6. taikuny

    JamiiForums Tanzania Mbolea asilia au mboji (compost)

    Wakulima na wafugaji Nafanya jaribio la kutengeza mbolea asili au mboji. Kwa kutumia majani niliyojaza apo kwenye karo Nitaweka Mbolea ya ng'ommbe au mbolea ya mbuzi /kuku/bguruwe/popo n.k Nitaweka Majani mabichi ya miti kama milonge mrusina mikunde poli Nitaweka Udongo mwesi Mwisho na fukia...
  7. taikuny

    JamiiForums Tanzania Ufugaji na kilimo ni mapacha

    Ufugaji msemto mbegu yenyewe tija kwa mfuga na biashara mm nafuga kiasili kabisa natumi miti shamba kama kinga ya magonjwa na tiba
  8. taikuny

    JamiiForums Tanzania Nahitaji matetea ya kuku wa kienyeji (pure) niko Dar

    Wangapi unaitaji nipo goba
  9. taikuny

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mwenye kujua taratibu za kilimo Cha tikiti

    Hongera sana... mkuu
  10. taikuny

    JamiiForums Tanzania Kilimo na ufagaji ni mapacha

    Aya marofa wenzangu turudi mjini kupumnzika na kuukarisha mwaka
  11. taikuny

    JamiiForums Tanzania Wakulima na mnaolima tupeane michongo mjini kugumu

    Kama umejipang vizuri kuingia kwenye kilimo na unabajet fanya kilimo cha umwagiriaji kinalipa na sio kilimo cha kubahatisha karibu mkuu shamban
  12. taikuny

    JamiiForums Tanzania Shambani kumenoga

    Nimeyato mkuu ilikua kutenganisha tu
  13. taikuny

    JamiiForums Tanzania Shambani kumenoga

    Aya banha sisi marofa wao wajanja
  14. taikuny

    JamiiForums Tanzania Shambani kumenoga

    Kwan walivyokopa walotuambia watatunulia nn ata pipi hawajatununulia isitoshe uku mbolea yenyewe ya mchongo
  15. taikuny

    JamiiForums Tanzania Shambani kumenoga

    Kumbuka me dalali wa nafaka na matunda nalima mazao ambayo na jua soko lake na pia naweza kuyachakata mafano alizet naweza kamua mafuta na kuuza na mahindi pia naweza saga unga nauza kwa oda mashulen n.k sitegemei sana kuuza mazao ghafi mungu ajaalie
Back
Top Bottom