Recent content by Tagalile S. Tagalile

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu hii ya Annex Mrina Arusha Miaka ya early 2000s Haijanitoka mpaka leo

    Duu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Hii kitu achana nayo Ikitoka Mbeya saa 12 Iringa saa 2:15 Saa 7:00 Chalinze, Moshi 12:00 Kiroho safi Arusha Mapema 1:30-2:00 tu utafikiri umetoka Dar na basi za Siki hizi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Ahsante sana kwa ushauri wako mkuu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nakaa nao Ukonga, ni jirani yangu yupi hapa kaharibu picha ?

    Chunga tamaa mbaya
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa haki za wanyama hivi huwa hamuoni mbwa wanaogongwa?

    Ulishawahi kwenda Iringa ukakuta mbwa amegongwa na gari kisha akaliwa kama kitoweo? Mjinga wewe
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa mimba binti ambaye si wa ndoto zangu

    Inadibi tu ulee hiyo mimba, msije mkaitoa maana ni laana..ndio binadamu huwa tunakosea na kuingia dhambini lakini usithubutu kufanya mauaji hayo ya kinyama....
  7. T

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana wamemuua Mhasibu wa Tume ya ushindani nchini (FCC) Bw.Alex Malata na kumtupa baharini eneo la daraja

    R.I.P Alex Malata, nimeishi kwenu Ipogolo (Cagliero) tukijiandaa na mitihani ya sekondari, tumekuwa pamoja ukiwa FCC pale Ubungo Plaza, mwezi wa 12 mmempoteza Mama yenu kweli ni Huzuni kwa familia ya Mzee Malata. Mungu akuweke pema.... Amina
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ninajihisi mjamzito, lakini sikumbuki ni wa nani

    Usitoe mimba, utapata dhambi, tubu kwa Mungu wako lea mtoto wako na mpe matunzo anayostahili
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa juu ya GS1 TZ

    Bila shaka wata update
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kitu gani cha thamani kuliko vyote kwako?

    Well said
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwaresma 2018 Special thread...

    Ndivyo tunapaswa kuenenda wakristo kuirarua mioyo yetu na kupata toba na msamaha pamoja na kuishi utakatifu... Maisha duniani ni mafupi na safari kurejea kwa Muumba ni muda wowote hivyo tujiandae sio wakati wa Kwaresma tu bali kipindi chote cha mwaka
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nitabisha mpaka kufa... Hajasema hivi

    Mmmmhhhh hapana kwa hiyo kauli, mke mmoja atosha
Back
Top Bottom